Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawaziri na wabunge waliofanya vibaya katika bunge la bajeti...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by only83, Aug 27, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,020
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  ..............Wakuu kuna thread moja hapa JF imetaka tufanye uchambuzi wa wabunge waliofanya vizuri kwenye kutetea maslahi ya wananchi kwenye bunge la bajeti....

  Nadhani ni vyema tuwatendee haki hata wabunge na mawaziri waliofanya vibaya pia....naomba tuwajadili hapa JF bila kujali itikadi za vyama,udini,ukabila nk.....
   
 2. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,671
  Likes Received: 450
  Trophy Points: 180
  Mawazili wote ni hovyo wakiongozwa na Pinda. Wabunge wote CCM, CUF, UDP na TLP pia ni wa hovyo tu + Shibuda aka ujila wa mwiha.
   
 3. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mawaziri walofanya vibaya ni
  1.ngeleja
  2.mustafa mkulo
  3.celina kombani
  4.omari nundu
   
 4. G

  GHANI JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 685
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kuna bomu Silima pereira.
   
 5. T

  THE PRINCE Member

  #5
  Aug 27, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jeremia sumari-arumeru mashariki is the worsiest mp
   
 6. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kikwete! Serikali yake hawezi leta mvua! Lol!
   
 7. Suip

  Suip JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 715
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 60
  <br />
  <br />
  Unakurupuka kabla ya kufikiri, elezea uhovyo wao ni upi?
   
 8. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 2,839
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  Wasira ana hasira sana na ameongoza kwa kulala,pia hawa ghasia kwenye suala la uwazi kwenye mishahara hajafanya vizuri
   
 9. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wasira na lukuvu
  am sorry no say mawaziri wa jinsi ya kike ni vimeo wote hakuna wa nafuu
  hivi mimi maana ya kuwapa uongozi? sio kutetea wanawake na watoto?
  kama wanatetea vyama basi tufute na TAMWA wawezeshwe,
  TAMWA amkeni wabaneni hawa mawaziri
   
 10. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,302
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  1. Anza na mtu anaitwa Pinda hivi kweli huyu jamaa ni Pm kweli PM?!! ukikuta mwingne anaitwa Ngeleja halafu Wasira unatapika kabla hujamfikia Boss wao!!
   
 11. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2011
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa ufupi mawaziri wamefanya vibaya ukiacha wachache wenye jitihada binafsi.

  1. Mizengo Pinda. Huyu kwangu ndio anaongoza. Maana ni mnafiki. Anasema hili na kusimamia jingine. Kama waziri mkuu amekuwa legelege mno.

  Sijaona akisimama katika nafasi yake ya kumsaidia raisi kuwasimamia mawaziri wake. Anasubiri mpaka litokee janga ndio anachukua hatua! Angalia

  kwa ngeleja na nundu. Amekuwa akijibu maswali mengine kwa namna ambayo hairidhishi kwa nafasi yake ya waziri mkuu. Amekuwa akidanganya

  bunge mara kadhaa. Na kama waziri mkuu anashindwa na tunakuwa na ministerial and collective responsibility, wote automatically wamefail!
   
 12. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,285
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  hapo kwa Shibuda umenikumbusha siku anambishia waziri kwamba badala ya posho aseme ujira wa wmiha!
   
 13. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,775
  Likes Received: 1,551
  Trophy Points: 280
  Wassira ameshasema tatizo ni vidonge!!!!!!!!!!!!!!
   
 14. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,775
  Likes Received: 1,551
  Trophy Points: 280
  Shibuda ni Waziri. We are talking about ministry.
   
 15. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,099
  Likes Received: 4,202
  Trophy Points: 280
  Rose Kamili, Lema, Komba, Maji marefu, na yule Mkenya wa Mwanza
   
 16. N

  Nsengimana Member

  #16
  Aug 28, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Acha upupu,kama kuna majembe niliyoyaona pale mjengoni Lema na Wenje ni kati ya majembe ya ukwel,mbona makinda+ccm walikoma!
   
 17. kuberwa

  kuberwa JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 568
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  bila kumsahau yule mama wa viti maalumu wa Bariadi, aliyechangia wizara ya maji yaani lile ni bomuuuuuuuuuuuuu.... aliaibisha sijui kigezo gani kilimuweka pale! na amechangia mara moja upupu wake ule! utaratibu ubadilike wa kutoa posho, naona wapewe wale wanaoenda bungeni na kuchangia tu!
   
 18. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 12,403
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Hivi yule mama Mlemavu wangozi Mbona sijamsikia kabisa safari hii? Alikuwepo kweli bungeni?
   
 19. only83

  only83 JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,020
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Mkuu thread inataka mawaziri plus wabunge.............
   
 20. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,843
  Likes Received: 2,044
  Trophy Points: 280
  hbu malizia kutoa gamba hilo kwenye kidevu
   
Loading...