Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,625
- 5,341
mtatiro aache kutumia masaburi kufikiri ajaribu kutumia na kichwa kidogo!
Rose kamili aliyekuwa rafiki wa DRKwa uchache: Lucy Owenya, Suzan Lyimo, Grace Kiwelu.
Na Peter Mwenda, Igunga
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimekionya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuacha mara moja kutangaza kudanganya wananchi wa Jimbo la Igunga kuwa chama hicho kisipewe kura kwa madai kuwa ni CCM-B.
"Mfumo wa uongozi wa CHADEMA hauna tofauti na ule wa CCM kwa sababu ule mfumo wa uongozi wa kupeana ulipo CCM ambao hautawahi kutokea CUF," alisema Bw. Mtatiro.
Alisema CHADEMA ilipata viti maalumu 36 na kushindwa kugawa kwa kuzingatia uwakilishi wa wananchi, bali walipendeleana wao kwa wao kwa kugawa viti 16 kwa mkoa wa Kilimanjaro pekee ambako viongozi wa chama hicho, walitoa kwa wake zao, wadogo zao na jamaa zao.
Alisema CUF Tanzania bara na Zanzibar walipata viti maalum kumi ambavyo ilivigawa bila upendeleo Dodoma (Bi. Moza Abeid), Mwanza (Bi. Mkiwa Kimwanga , Tanga Bi, Amina Mwidau, Mtwara (Bi. Clara Mwatuka, Kaskazini Pemba (Bi. Riziki Omar Juma), Mjini Magharibi Bi. Amina Amour na Kusini Magharibi (Bi. Thuwaiba Idris) ambao wanakilisha wa wananchi badala ya kulimbikizia kundi chache.
Alisema suala la Serikali ya Umoja Zanzibar ni mfumo uliofikiwa na Wazinzibari wenyewe ili kuondoa uhasama uliokuwepo, sasa inakuaje CHADEMA iseme CUF imeingia mkataba wa urafiki na CCM.
Katika mkutano huo mgombea ubunge wa CUF, Bw. Leopold Mahona alisema akichaguliwa atahakikisha wananchi wa Kata hiyo wataondokewa na kero zinazowasumbua kwa miaka mingi bila kupatiwa ufumbuzi.
SOURCE:MAJIRA

Nalisikitiki sana majira jinsi lilivyokwisha toka hero to ziro pia namsikitikia sana Mtatilo safari yake kisiasa ni fupi sana,jamaa sijui huwa hawazi kwenda kwenye chama kilichofika mwisho? sidhani kama elimu yake inampa uwezo wa kufikiriHata kama ukikataa, ukweli ukisimama uongo hujitenga na mwenye macho haambiwi tazama. cuf na magamba ni wanandoa. Hili halina ubishi. Halafu gazeti la majira, uhuru, na yale mengine what do you expect??
Mkuu mimi kuwahabarisha wanajamvi imekuwa kosa? Sikutaka kuedit chochote ili wanajamvi mumfahamu Mtatiro rangi zake zote
We mtatiro weweee acha usharobalo.. Kwanza huwa hakuna tanzania zanzibar, bali taifa la zanzibar.Na Peter Mwenda, Igunga
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimekionya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuacha mara moja kutangaza kudanganya wananchi wa Jimbo la Igunga kuwa chama hicho kisipewe kura kwa madai kuwa ni CCM-B.
"Mfumo wa uongozi wa CHADEMA hauna tofauti na ule wa CCM kwa sababu ule mfumo wa uongozi wa kupeana ulipo CCM ambao hautawahi kutokea CUF," alisema Bw. Mtatiro.
Alisema CHADEMA ilipata viti maalumu 36 na kushindwa kugawa kwa kuzingatia uwakilishi wa wananchi, bali walipendeleana wao kwa wao kwa kugawa viti 16 kwa mkoa wa Kilimanjaro pekee ambako viongozi wa chama hicho, walitoa kwa wake zao, wadogo zao na jamaa zao.
Alisema CUF Tanzania bara na Zanzibar walipata viti maalum kumi ambavyo ilivigawa bila upendeleo Dodoma (Bi. Moza Abeid), Mwanza (Bi. Mkiwa Kimwanga , Tanga Bi, Amina Mwidau, Mtwara (Bi. Clara Mwatuka, Kaskazini Pemba (Bi. Riziki Omar Juma), Mjini Magharibi Bi. Amina Amour na Kusini Magharibi (Bi. Thuwaiba Idris) ambao wanakilisha wa wananchi badala ya kulimbikizia kundi chache.
Alisema suala la Serikali ya Umoja Zanzibar ni mfumo uliofikiwa na Wazinzibari wenyewe ili kuondoa uhasama uliokuwepo, sasa inakuaje CHADEMA iseme CUF imeingia mkataba wa urafiki na CCM.
Katika mkutano huo mgombea ubunge wa CUF, Bw. Leopold Mahona alisema akichaguliwa atahakikisha wananchi wa Kata hiyo wataondokewa na kero zinazowasumbua kwa miaka mingi bila kupatiwa ufumbuzi.
SOURCE:MAJIRA
We mtatiro weweee acha usharobalo.. Kwanza huwa hakuna tanzania zanzibar, bali taifa la zanzibar.
Hiyo mikoa Tanzania umetaja wabunge 4 tu. Taifa la Zanzibar umetaja wabumbe 3.
Sasa 3 + 4 = 7. Hao wengine watatu ni wawapi?
Nchi ya Zanzibar ina 984 sq km, ambayo ni ndogo mara 19 kwa mkoa wa Mwanza pekee wenye 19,592 sq km
Nchi ya Tanzania ina 946,316 sq km;
Mtatiro twambie mlitumia vigezo gani kutujanzia Wanzanzibar kwenye bunge letu la Tanzania wakati kanda ya ziwa peke yake mmeweka mbunge 1 ??????????
eliesikia, mbona unakuwa kama asiesikia?!. Mbona alichosema Mtatiro ndicho ulichosema wewe, hoja ilihusu wabunge 36 wa kuteuliwa, hao 22 wa kuchaguliwa umewaleta wa nini?. na jumla ya wabunge wote 58 wa Chadema umewataja wanahusu nini kwenye hoja ya msingi?.Uongo wako ndio hapo unapoingia utata mkubwa... Chadema ina wabunge 22 wa majimbo + 36 wanakuwa 58..!!. Aksante...
WanaJF tuendelee kuyapuuza haya magazeti uchwara kama Majira na huyu aliepost pia

hivi ni kweli kuwa cdm ni chama cha wachaga? nauliza maana hizi kashfa ni za muda sasa ni kweli wamegawana viti maalum vingi kwao? kama ni hivyo basi tuendako yatatokea matatizo makubwa kuliko yaliyopo sasa

eliesikia, mbona unakuwa kama asiesikia?!. Mbona alichosema Mtatiro ndicho ulichosema wewe, hoja ilihusu wabunge 36 wa kuteuliwa, hao 22 wa kuchaguliwa umewaleta wa nini?. na jumla ya wabunge wote 58 wa Chadema umewataja wanahusu nini kwenye hoja ya msingi?.

Japo siwashabikii CUF kwa sababu watagawana kura na Chadema katika vita vya panzi, hivyo faida ni kwa CCM, ila Mtatiro ana hoja ya msingi, kama ni kweli kati ya viti hiyo maalum 36, 16 wamepewa wana Kilimanjaro, then its obvious ni tatizo. Tatizo la manazi wa Chadema humu jamvini, mnajiaminisha chama chenu ni chama malaika wakati ni chama cha siasa kama vingine japo kimeleta tumaini jipya.

Mimi binafsi nilishawa wahi kuyataja baadhi ya maeneo yenye matatizo kwa Chadema, niliishia kutukanwa!. Kama ukiujua ukweli kuwa issue fulani ni tatizo na ukalisemea, hata ukibezwa haiwezi kukupa shida kwa sababu ukweli utasimama.

Kwa upande wa Mtatiro, kwanza mkubali msikubali ni mwanasiasa mzuri ila tatizo lake ni moja tuu, he is not very smart upstairs hivyo kujikuta anatumiwa tuu na CUF, ili kukifutia tuhuma za udini, alitakiwa amuulize Rwakatare. Kwa wale mliangalia kile kipindi cha Mchakato Majimboni, JJ.Mnyika alipoanza kampeni zake na kumaliza kazi pale pale, lazima mtakubaliana na mimi, Mtatiro ni mzuri kujieleza, ila siasa za sasa zinahitaji sio tuu uwezo wa kujieleza, bali pia inteligence na briliance upstais, vitu ambavyo Mtatiro hana!.

Sio haki kuliita majira ni gazeti uchwala unless unamaanisha gazeti makini ni Tanzania Daima pekee!, na pia sio busara kumpuuza kila anayepingana na Chadema humu jamvini, wapenzi na mashabiki wa Chadema msishabikie tuu ushabiki maandazi, kwa kumtukana kila anayetofautiana na Chadema humu jamvini, kama kuna hoja za msingi, jibuni hoja sio kuja na viroja!.

Pasco.