Igunga: Ni CCM ipi Rostam anaipigia kampeni; aliyosema ina siasa uchwara? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Igunga: Ni CCM ipi Rostam anaipigia kampeni; aliyosema ina siasa uchwara?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sulphadoxine, Sep 16, 2011.

 1. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  JULAI 13, mwaka huu, siku alipotangaza kujiuzulu ubunge wa Jimbo la Igunga na ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rostam Aziz alisema kuwa amefanya maamuzi hayo kutokana na kuchoshwa na siasa uchwara, fitina na kuandamwa ndani ya CCM.
  Katika hotuba yake kwa wana-CCM na wakazi wengine wa Igunga, Rostam alikwenda mbali zaidi kwa kuwashutumu baadhi ya viongozi wa Sekretarieti ya chama hicho kwa kuendesha kampeni za kumwandama kwa tuhuma mbalimbali za kukosa maadili na kumtaka ajivue gamba.
  Aliwashutumu Naibu Katikbu Mkuu wa CCM Bara, Kapteni John Chiligati na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye.
  Itakumbukwa kuwa baada ya kikao cha NEC kilichofanyika mjini Dodoma Aprili mwaka huu na kutoa na maazimio 26, moja namba 15 likiwataka vigogo wenye tuhuma za ufisadi kupima na kuamua kuchukua hatua kwa kujiwajibisha badala ya kusubiri kuwajibishwa na chama, Chiligati na Nape walifanya ziara katika maeneo mengi ya nchi wakiwaelezea wanachama maana ya dhana ya kujivua gamba.
  [FONT=&quot]Ili kuweka sawa na kumbukumbu ya makala yangu, Rostam alisema: “Mara tu baada ya kumalizika kwa kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ambacho kilichagua wajumbe wapya wa Kamati Kuu na kuidhinisha uundwaji wa Sekretarieti mpya, dhana ya kujivua gamba ambayo naamini Mwenyekiti wetu [/FONT]
   
 2. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hiyo ndiyo ccm,asipofanya hivyo yatamkuta mabaya sana,siyo hiari yake!
   
 3. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2011
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,493
  Likes Received: 823
  Trophy Points: 280
  mi naona huyo jamaa anacheza mchezo wa nipe nikupe. anafahamu asiposhiriki na ccm ikashindwa atabeba sehemu kubwa ya lawama, na usije kusahau kuwa huyu ni mtu ambaye anatuhumiwa katika ufisadi (hata kama mazingira hayamhusishi moja kwa moja) hivyo ni lazima apalilie shamba lake vizuri, maana chama kinaweza kumgeuka kwa kuyanyima tenda makampuni yake ambayo yamekuwa yakishinda tenda kutokana na ushawishi wa kisiasa, hii itakuwa pigo kwake kibiashara, au hata kuwafikisha mahakamani ndugu zake ambao kama alivyoripoti ndugu Msemakweli aliwabebesha jukumu la kusimmamia kampuni zake ( anajificha nyuma ya kivuli chao). hivyo hapa analinda masalhi yake kwa kuwa anjua bado ana nafasi ya kuendelea kuwakamua watanzania kwa kibali cha watawala, yaani ccm.
   
 4. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anafikiri kwa kutumia Masaburi
   
 5. W

  We know next JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa kweli inachekesha.... hivi watanzania tuna Serikali ya namna gani? mwenzenu kwa kweli sielewi, ni Serikali gani inayofanya mambo kwa maslahi ya kundi fulani na si Wananchi? Hivi Serikali zote duniani si za wananchi? Ila hapa kwetu inaonekana si hivyo... ajabu sana hii jamani.
   
 6. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,410
  Likes Received: 1,967
  Trophy Points: 280
  ndio ccm hiyo hiyo ndio maana nape hatakiwi kule. kama wanaigunga watawapa ccm na rostam sie hatuna la kufanya ni wazi mchezo wa ccm wa kuwafanya watz wajinga utaendelea kufanikiwa na usishangae nape akaendelea kuwaponda mapacha watatu baada ya uchaguzi na watu wakaendelea kuamini ni vita ya kweli
   
 7. Shenkalwa

  Shenkalwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapa mkuu umesema kweli kabisa. Kwa kuongezea ni kwamba hii inaonyesha jinsi chama cha magamba kilivyochanganyikiwa. Huku wanataka kuvuana magamba na kutupiana shutuma za ufisadi wakati huo huo wananyanyuana mikono kuwa wale wale ni wasafi. Kumbuka ya basil mramba, chenge na sasa lost arm. Ngoja tuone baada ya uchaguzi huo mdogo kitaendelea nini kati ya lost arm na chama chake cha magamba. Ni vituko
   
 8. N

  Nsengimana Member

  #8
  Sep 16, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi wadau mnauhakika na mnayochangia?Mpaka sasa RA hajashiriki kampen directly,hajapanda jukwaani hata mara moja,ushiriki wake bado ni tetesi tu eti ameombwa na Jk.Sipingi hili,na ni unafiki mkubwa kwa RA na magamba kama kweli wataamua kumtumia RA Igunga,ila ninachotaka kusema ni kutaka wanajf tuwe na uhakika kabla ya kuchangia na kupost thread vinginevyo tunalishushia hadhi jukwaa.
   
 9. W

  WildCard JF-Expert Member

  #9
  Sep 16, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Haukumwona siku ile CCM wanazindua kampeni? Rostam ndie mwenye Igunga angalau kwa sasa.
   
 10. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #10
  Sep 16, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,410
  Likes Received: 1,967
  Trophy Points: 280
  nafikiri mwenzetu kama unaangalia tv huwa unaangalia nyuma ya screen yupo tangu mkapa anafungua kampeni siku ya jmosi ya ajali kubwa ya meli ya spice nini sijui
   
 11. only83

  only83 JF-Expert Member

  #11
  Sep 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  By having these kind of leaders in the system and this party,CCM to lead us for sure our dream to reach Tanzania which produce honey and milk will remain to be something difficult to achieve.It is amazing that,someone who before condemn the whole system of chama cha magamba currently is a pioneer to say CCM is a good party.Huu ndio unafiki ambao watanzania siku zote we use to complain.But,this mark the beginning of an end of CCM and it leaders...I don't think if Tanzanian will remain to be quite and to leave this type of ruling to continue....One day they will take actions...
   
 12. O

  OMEGA JF-Expert Member

  #12
  Sep 16, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 671
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  Kaambiwa asiposaidia kampeni watampelekea TRA ichunguze jinsi CASPIAN inavyolipia mapato kutokana na mikataba yake ndani ya Mgodi wa Buzwagi Kahama ,ambako Rostam analipwa mabillioni kila mwezi kutokana na tender zake kedekede kwa Barrick mgodini umo lakini from reliable source analipa mapato sio kulingana na sheria za mapato bali anavyojisikia,anajipimia hela ya kulipa TRA na always ni kiduchu
   
 13. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #13
  Sep 16, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  These people are demon possesed,achana nao, utasumbua akili yako bure.
   
 14. N

  Nsengimana Member

  #14
  Sep 16, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Nashukuru kwa taarifa,sikupata kuuangalia mkutano wa ufunguzi,pia sina acces sana na tv,mara nyingi news nazipata humu na kusoma magazet.Je RA alizungumza siku hiyo?Ama kweli magamba hamnazo.
   
 15. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #15
  Sep 16, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />
  WACHA ALE MATAPISHI YAKE MWENYEWE! IGUNGA LAZIMA WAPINZANI WACHUKUE. KWANZA SI ALISEMA SIASA ZA TANZANIA NI UCHWARA NA MAJI TAKA? SASA LINI WAMEKUA NA SIASA NZURI! MAJITU MENGINE HOVYO TU!
   
Loading...