Ulivyokuwa huna kazi lazima utakuwepo tu, naomba siku hiyo Malaria ikushike mpaka ushindwe kwenda mahakamani ukomehukumu ya pingamizi la lema itasomwa tarehe 26-09-11..
<br />Ulivyokuwa huna kazi lazima utakuwepo tu, naomba siku hiyo Malaria ikushike mpaka ushindwe kwenda mahakamani ukome
wewe ukiniombea mambaya kunawao niombea mazuri..harafu hakuna raha kama kutetea ukweli...kesho nitakuletea mwendelezo wa kasi ya wale madiwani mlio wanunua zidi ya cdm..Ulivyokuwa huna kazi lazima utakuwepo tu, naomba siku hiyo Malaria ikushike mpaka ushindwe kwenda mahakamani ukome
hukumu ya pingamizi la lema itasomwa tarehe 26-09-11..
nimechelewa kufika lakini kinachobishaniwa sasa ni juu ya maneno aliyoyatumia lema kwenye kampeni kuwa yalikuwa yana mkashifu mgombea wa ccm..wanaulizwa yaliwaathiri vipi waliofungua kesi
Jaji Mujuluzi jana amekataa pingamizi lililotolewa na leo asubui wanaanza Trial',,,,:fencing:Vipi updates za leo kuhusu Kesi ya Lema jamani? Mkuu Crashwise, please ....!
Mussa Mkangaa ni diwani wa zamani CCM sijui siku hizi ana wadhifa gani ndani ya chama cha Magamba.
Mkuu Crashwise.
Asante kwa taarifa lakini chonde chonde weka ushabiki pembeni tujuze kinachoendelea hata kama kamanda wako kaminywa sema tu hii ndiyo starehe ya JF.Habari za Lema kashinda kwa kura nyingi hazina msingi kwasababu kinachopingwa si kukosewa kwa hesaba tu.
Ha ha haa, Ngongo bana heshima kwako mkuu.
Haya mkuu nasubiri kusoma verified information toka kwa watu wako.
jaji anamwambia anachotakiwa ni kumshawishi ili aone kuwa waliofungua kesi wana haki hiyo si vinginevyo..
anasema kesi hii siyo binafsi kwa kuwa serikali imetumia bil 100 na zaidi na kuna pesa pia za mashahidi ikiwemo kesi ya lema hivyo inaonyesha jinsi ngani kesi hii siyo binafsi..jaji ana mwambia kama ndiyo huoni kama ndiyo maana imezuia kufungua kesi hovyo..
jana waliuzwa waliofungua kesi waliathirika vipi...anasema wadai hawawajibiki kueleza waliathirika namna gani...
kifungu na 11 cha sheria za uchaguzi inamapaungufu..
kesi imehailishwa mpaka tarehe 17 mwezi ujao baada ya wakili wa upande washitaki kukosa nakala za kesi ya awali kwa kisingizio hakuwa na umeme...
Nilipotosha wapi na ukweli ukoje....Mura Mwita Maranya.
Bila shaka utakuliana na mimi Crashwise alipotosha jamvi ili kudumisha utaratibu wa kusifia na kutetea hata jambo lisilostahili.Verified information ni kwamba Lema ana kesi ya kujibu !.