Recent content by Noswerd malila

  1. Noswerd malila

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sijaelewa fafanua kidogo
  2. Noswerd malila

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania hatarini kuondolewa AFCON 2025 baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF)

    Hiyo kitu haijawahi na haitakuja kutokea mistake ya namba hutokea ktk mchezo wa mpira wa miguu hicho sio kigezo cha kuicancel team
  3. Noswerd malila

    JamiiForums Tanzania Developer software engineers idea

    Habari ya muda huu wakuu Leo nimekuja na wazo ambalo tunaweza kulibadili na likaleta matokeo mazuri ambayo yatakuwa na matunda basi kama wewe ni Web Designer au developer ni PM tuweze kuelekezana
  4. Noswerd malila

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Ajira Portal

    Namba unayoweka hapo ishatumika jaribu kulogin
  5. Noswerd malila

    JamiiForums Tanzania Namleta kwenu mwalimu wa Falsafa mwenye degree 4 asieonywa na darasa la saba

    Kuna utofauti kati ya education level na uelewa wa mtu
  6. Noswerd malila

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wasanii waliochukua fomu za kugombea ubunge kupitia vyama mbalimbali Uchaguzi Mkuu 2020

    Mpoki kaangukia pabaya hatoboi naona akibishana na ukuta
  7. Noswerd malila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I am looking for a Husband

    Id yako ya zamani ni ip
  8. Noswerd malila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kunioa, nimechoka kuwa mpweke

    Vigezo rahisi sana ngoja tujaribu kumeza ndoano
  9. Noswerd malila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mfupa uliomshinda Fisi hakuna mnyama atakaye uweza

    Ukweli huwa hauwekwi wazi kwa viumbe hawa wenye majina ya ex Kama hukufanikiwa kumwona ktk mahusiano yake ya kwanza mkikutana atamvisha ubaya ex wake na kujifanya mtakatifu hapo ndipo kipengele kitakapoanza ushauri wangu kama utapenda ex wa mtu hakikisha uliwahi kushudia maisha yake ya mahusiano...
  10. Noswerd malila

    JamiiForums Tanzania ELON MUSK; Binadamu 'Kutoka Mars' Mwenye akili zaidi katika Karne ya 21

    Ni Mungu mmoja ila jamaa akili yake iko kiteknolojia zaidi
  11. Noswerd malila

    JamiiForums Tanzania ELON MUSK; Binadamu 'Kutoka Mars' Mwenye akili zaidi katika Karne ya 21

    Nyuma ya pazia jamaa anavuta b*ngi sana na anakuja na project ya kuongeza siku za kuishi binadamu labda itokee bahati mbaya upate ajari ndiyo upoteze maisha binafsi namkubali sana yana mambo zake sio haba
  12. Noswerd malila

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanafunzi wa ICT, IT, CS na IS hawatoi proposal mpya?

    Wewe kujifunza kusoma ulianzia wapi kuna umuhimu wa serikali kuuingiza haya masomo kwenye mitaala ya elimu kuanzia ngazi za chini kabisa sio kuja kukutana nayo huko juu
  13. Noswerd malila

    JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi za kufuata, unapotaka kumuoa Afisa Usalama(Mwanamke)? Anaruhusiwa kukueleza siri za nchi?

    Kumwoa kwa hatua zako wewe ni ngumu bali utamwoa kwa hatua zake yeye
  14. Noswerd malila

    JamiiForums Tanzania Nafsi ni nini

    Habari ya asubuhi wakuu natumaini muwazima wa afya kwa wale ambao ni tofauti napenda kuwapa moyo mtakua vyema na kurudi ktk kusukuma gurudumu la maendeleo Acha niende moja kwa moja katika swali langu nilouliza wajuzi wa mambo naomba kuuliza 1. Nafsi nini? 2. Je Nafsi ktk mwili huishi ndani ya...
Back
Top Bottom