Pole sana Mkuu,
Kiukweli hawa watu huwa wanachangamoto sana ila inapofikia hatua kama hiyo ni vyema kumshirikisha Mshenga wako ili aweze kufikisha ujumbe kwa wazazi wake.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,unapenda kufanyiwa wewe tu ila kwa mwenzako hutaki.
Kimsingi hapo lazima mpime afya zenu nyote maana magonjwa yamekuwa ni mengi ila Zaidi ya hapo kila mmoja wenu atatakiwa kumtendea haki mwenzie japo ni Risk kwa afya yako.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,pole sana kiongozi wenzako huwa wanakabizi hivyo vitu af ndo wanaendelea na hizo starehe.
Mpaka hapo we hesabu ushapoteza tu, maana hata huyo aliyekupa connection yawezekana hamfaham huyo Changu.
Mkuu inaonyesha katika mahusiano au mapenzi bado ni mchanga.
Huwezi kusema kwa ujumla kuwa siyo waminifu kwa kutumia weakness zako kumbuka
Siku zote Pesa inatafutwa ila uaminifu Mtu anazaliwa nao
Dah,kwanza Mkuu pole sana kwa kuingia Choo cha kike.
Pili hongera sana kwa kuonyesha kuwa ulikuwa na mapenzi ya dhati.
Tatu.katika ulimwengu wa hivi sasa wanawake wapo wengi ambao wanatafta wanaume wenye mipango ya maisha kama ulivyoweza kumshauri lakini kwa bahati mbaya yupo kimatumizi zaidi...
Kwanza hongera sana kwa kuwa na mtazamo chanya,
Kimsingi yote yanawezekana kama utakuwa na mikakati mizuri na si vyema ukawa na maamuzi ya haraka sana ukiwa unajua bado ni Tegemezi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kijana Tatizo lako halikuwa na mantiki kulileta hapa maana Sheria inakubana kutembea na Mwanafunzi,
Pili huyo kijana mwenzie sidhami kama ni mkweli kwa kile ambacho amekiwakilsha kwako kulingana na approach aliyoitumia kukwambia wewe badala kuwambia...
Mpaka hapo unaweza kuwa na jibu na si swala la kufikiria kuwa labda Sera za kimataifa zinatunabana.
Zaidi ya hapo endelea kutafakari kwa kina hasa katika mfumo wa Nchi yetu ulivyo na kwanini hatufikii hayo malengo uliyoyasema awali.
Mkuu umekuja na hoja nzuri lakini kabla hujafikiria uko tuanze na mfano mdogo tu.
Hawa waliokuja na ubunifu wa kutengeneza Gari,Helicopter nk,waliishia wapi?
Ukishapata jibu, ndo tuje
kumfahamu anayeitwa Mhandisi (Engineer).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.