Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,075
Inaonekana uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana.
Sasa hapo unaomba ushauri gani sasa
Sasa hapo unaomba ushauri gani sasa
ilisha nitokea kaka.mwanamke huyo ni mwenye masilahi yake tu.na si kukupenda .fanya mahamuzi mapema mbele utakuja filisikaHabari zenu wapendwa?
Nianze hivi! Miezi 5 iliyopita nilikutana na binti mmoja hivi na nikafanikiwa kutengeneza mahusiano naye. Lengo kubwa lilikuwa kufunga naye ndoa kwa kuwa nilimpenda sana, lakini huyu mwezangu hakuwa ameajiriwa na mimi nimeajiriwa.
Tuliishi mikoa tofauti kwa sababu mkoa ninaofanyia kazi ni tofauti na yeye alipo, pia alipo yeye, mimi kule ndo nyumbani, hivyo kila ninapopata likizo huwa nakwenda kusabahi ndugu kwasababu hiyo basi nikamwambia kwa kuwa huna kashughuli kanakoweza kukufanya upate mia mbili mia mbili, ni shughuli ipi unayoweza kuifanya, ikakusaidia hadi tutakapofunga ndoa? Maana si muda wote ninaweza kuwa na hela utakapohitaji hivyo hiyo shughuli inaweza kukusaidia.
Akaniambia kuwa anaweza kununua bidhaa za wanawake kama madera, viatu vya kike, mikoba na kukopesha, hivyo angehitaji mtaji wa kama 500,000, mimi nikampa 400, 000 nikamwambia anzia hiyo na kweli akaanza, but tatizo lilianza pale siku moja aliponiambia kuwa kuna simu ndugu yake anauza, yenye thamani ya 450,000 ila anaiuza kwa shilingi 250,000, hivyo anataka ainunue, ila mimi nikapinga hilo nikamwambia, shughulika na hiyo biashara kwanza, ikichanganyia vizuri mbona unaweza kununua simu ya aina yoyote? Lakini mwezangu akawa kama amebisha hivi hivyo sikutaka kubishana naye, ingawa alikuwa na simu nyingine aina ya tecno W3, aliamua kuinunua na ile kwa kutoa pesa ya mtaji.
Bahati mbaya alipokwenda saloon ile simu aliyonunua 250,000 aliibiwa. Aliniomba radhi kwa kilichotokea na mimi nilimuelewa ingawa aliniambia hata nipa jukumu la kununua simu nyingine, na mimi nikakaa kimya, bdae ikabidi auze ile tecno w3 ili arudishe hela ya mtaji, maana aliitumia kununua ile simu aliyoibiwa saloon.
Baada ya kuuza hiyo tecno w3 akawa hana simu so nikamuonea huruma nikampa 70,000 akaongezea nyengine akaenda kununua smart nyengine, sasa hapo kipindi cha katikati elfu ishirini ishirini nyingi tu nimetuma kwake, so nikifanya majumlisho kama 800,000 imetumika wake ukijumlisha na mtaji niliompa.
Sasa juzi kati kaniambia kuwa ameambiwa kuwa achangie jiko la gas kwa ajili ya harusi ya ndugu yake, mimi nikamuuliza wanakupa majukumu hayo kwani wewe una kazi? Nikamwambia sasa hivi sina pesa, maamuzi aliyochukua ni kuuza ile simu niliyomchangia 70,000 kununua, ili akanunue jiko la gas kwa ajili ya huyo ndugu yake anayeolewa.
Sasa sakata likapamba moto aliponiambia kuwa hana simu hivyo nimpe 30,000 akanunue simu ndogo, nikamwambia sina, vumilia nitakupa, akaniambia kanikopee, nikamwambia siwezi kwenda kukopa, akaniambia sasa wewe ni mwanaume gani huna hata akiba ya 30,000? Nikamuuliza mbona wewe huna hiyo 30,000, akanambia siwezi kuwa na mwanaume ambaye hana uwezo wa kunisaidia nikiwa nadharula ya pesa Kama hivi. Nikamwambia sawa mama.
Ushauri wenu wadau kuna mapenzi ya kweli hapa?
Au nimepotea njia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Habari zenu wapendwa?

Dah,kwanza Mkuu pole sana kwa kuingia Choo cha kike.Habari zenu wapendwa?

ahsante mkuuDah,kwanza Mkuu pole sana kwa kuingia Choo cha kike.
Pili hongera sana kwa kuonyesha kuwa ulikuwa na mapenzi ya dhati.
Tatu.katika ulimwengu wa hivi sasa wanawake wapo wengi ambao wanatafta wanaume wenye mipango ya maisha kama ulivyoweza kumshauri lakini kwa bahati mbaya yupo kimatumizi zaidi.
Kwahiyo sidhani kama kuna mtu anaweza kukwambia uendelee nae wakati hana malengo ya dhati na wewe.
Wee mwenyewe huna akili. Umri wako please. Au umevamia mapenzi uzeeni? Achana na huyo mwanamke. Mpaka hapo umechelewaHabari zenu wapendwa?
Nianze hivi! Miezi 5 iliyopita nilikutana na binti mmoja hivi na nikafanikiwa kutengeneza mahusiano naye. Lengo kubwa lilikuwa kufunga naye ndoa kwa kuwa nilimpenda sana, lakini huyu mwezangu hakuwa ameajiriwa na mimi nimeajiriwa.
Tuliishi mikoa tofauti kwa sababu mkoa ninaofanyia kazi ni tofauti na yeye alipo, pia alipo yeye, mimi kule ndo nyumbani, hivyo kila ninapopata likizo huwa nakwenda kusabahi ndugu kwasababu hiyo basi nikamwambia kwa kuwa huna kashughuli kanakoweza kukufanya upate mia mbili mia mbili, ni shughuli ipi unayoweza kuifanya, ikakusaidia hadi tutakapofunga ndoa? Maana si muda wote ninaweza kuwa na hela utakapohitaji hivyo hiyo shughuli inaweza kukusaidia.
Akaniambia kuwa anaweza kununua bidhaa za wanawake kama madera, viatu vya kike, mikoba na kukopesha, hivyo angehitaji mtaji wa kama 500,000, mimi nikampa 400, 000 nikamwambia anzia hiyo na kweli akaanza, but tatizo lilianza pale siku moja aliponiambia kuwa kuna simu ndugu yake anauza, yenye thamani ya 450,000 ila anaiuza kwa shilingi 250,000, hivyo anataka ainunue, ila mimi nikapinga hilo nikamwambia, shughulika na hiyo biashara kwanza, ikichanganyia vizuri mbona unaweza kununua simu ya aina yoyote? Lakini mwezangu akawa kama amebisha hivi hivyo sikutaka kubishana naye, ingawa alikuwa na simu nyingine aina ya tecno W3, aliamua kuinunua na ile kwa kutoa pesa ya mtaji.
Bahati mbaya alipokwenda saloon ile simu aliyonunua 250,000 aliibiwa. Aliniomba radhi kwa kilichotokea na mimi nilimuelewa ingawa aliniambia hata nipa jukumu la kununua simu nyingine, na mimi nikakaa kimya, bdae ikabidi auze ile tecno w3 ili arudishe hela ya mtaji, maana aliitumia kununua ile simu aliyoibiwa saloon.
Baada ya kuuza hiyo tecno w3 akawa hana simu so nikamuonea huruma nikampa 70,000 akaongezea nyengine akaenda kununua smart nyengine, sasa hapo kipindi cha katikati elfu ishirini ishirini nyingi tu nimetuma kwake, so nikifanya majumlisho kama 800,000 imetumika wake ukijumlisha na mtaji niliompa.
Sasa juzi kati kaniambia kuwa ameambiwa kuwa achangie jiko la gas kwa ajili ya harusi ya ndugu yake, mimi nikamuuliza wanakupa majukumu hayo kwani wewe una kazi? Nikamwambia sasa hivi sina pesa, maamuzi aliyochukua ni kuuza ile simu niliyomchangia 70,000 kununua, ili akanunue jiko la gas kwa ajili ya huyo ndugu yake anayeolewa.
Sasa sakata likapamba moto aliponiambia kuwa hana simu hivyo nimpe 30,000 akanunue simu ndogo, nikamwambia sina, vumilia nitakupa, akaniambia kanikopee, nikamwambia siwezi kwenda kukopa, akaniambia sasa wewe ni mwanaume gani huna hata akiba ya 30,000? Nikamuuliza mbona wewe huna hiyo 30,000, akanambia siwezi kuwa na mwanaume ambaye hana uwezo wa kunisaidia nikiwa nadharula ya pesa Kama hivi. Nikamwambia sawa mama.
Ushauri wenu wadau kuna mapenzi ya kweli hapa?
Au nimepotea njia?
natamani sana kushauri isipokua nahofia kutoa ushauri wangu kwa maelezo ya upande mmoja maan waswahili wana msemo usemao mvamba ng,oma ngozi huvutia kwake labda ninachoweza kusema kwa sasa ni kuwa akiri za kuambiwa changanya na zakoHabari zenu wapendwa?

Kwakweli...Kwenye miti hakuna wajenzi..
Anakupotezea muda mkuu.... Ila, kwa faida yake binafs bdae... Ikiwa ni kam kumpa msaada tu ili kumdhihirishia kwamba una wema kias gan, .... Jaribu kukaa nae kisha mpe ushaur tu kumuonyesha kwmb anachofanya sio, then sepa! Mkanye kwa maneno tu tho c lazma piaHabari zenu wapendwa?