T2015CCM
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 7,931
- 987
Nilikuwa sijui TISS ni nini ila jana nimedadisi nimeambiwa taasisi hii ni chombo huru na nyeti sana kisichojihusisha na siasa, ambacho kazi yake ni kulinda amani na usalama wa nchi na kusimamia misingi ya utu usawa na haki.
Pia Kazi yake kubwa sana ni kuhakikisha uchumi wa nchi unakua na wananchi wanaondokana na umaskini kwa kuishauri serikali kusimamia maslahi mapana ya wananchi.
Naipongeza sana taasisi hii. Ibarikiwe sana. Idumu milele na milele. Amen