Pole sana dogo but kwa maono yangu huyo hajabakwa ,kwanin nasema ivo
1. Km angkua kabakwa kwel angeshakwambia toka zaman coz tangu mwez wa 12 mpk leo ni muda mrefu sana na wasichan navowaelewa si watu wa kukaa na kitu km icho kwa muda mrefu ivo,, km ingkua kafanyiw icho kitndo bas lazm miez ya nyuma kabl ya leo ungjua tu kuwa hayuko sawa ata kweny chatings zenu
2. Msichana wa form6 abakw?? hapana wasichan wanapokua shulen wanafundishanag ujinga mwing mixer ujuaji sas hapo napata shida isije kua alidanganyw na wenzie huko akaamua kujarib so kuon ashakwambia yy n bikra ikabd akudangany ili usimuon muhuni!!!
Bt kikubwa usimchukie just take it normal baada ya mtian nd muanz kuionglea upya hiyo mada ,,,naamin utapat majibu mazuri
Pia nakutakia maandaliz mema ya mtian kumbuk tu msichana si mwenzako so usije kuchukulia kubakwa kwake km vile ww ,,usiwaze san coz ata mwenzio shule akifel bdo ana kingin kinachombeba kweny maisha so be careful my brother