Mkuu nimetembelea. hapa mwanza kwa shughuli zangu , hii biashara dogo anaifanyia sehemu gani nimtembelee.Its simple saana unaweka mawe yako yale ya kusugulia miguu manne yenye vitobo vitobo kwenye jiko yanauzwa mia tano kila moja na utatumia kwa miezi zaidi ya saba, mpaka kuisha kwake.
Ukitaka kuwasha kuna switch za kuwashia taa pale (Angalia kwenye picha utaona) ukiweka on ndio tayari moto unawaka unaanza kupika comfortable kabisa.
Bei yake nitamconsult mpwa wangu ndie mzalishaji mkuu. Ila ni affordable saana kulingana na kipato cha mtanzania.
Tafadhali zingatia kujibu haya maswali ili info inayohusiana na bidhaa yako iwe kamilifu zaidi.Huyo Mpwa wako akupe maelezo ya kitechnical zaidi ....
1. Je linachukua muda gani kupata joto hadi uweze kulitumia?
2. Halitoi Moshi?
3. Mawe yanakaa miezi saba hata ukichemshia makande kila siku?
4. Unapolitumia unatakiwa uwe kwenye Jua au hata ukiwa chumbani linapika?
5. Hiyo hapo juu ni solar panel? na kama ndio basi linaweza kutumia umeme mbadala 12Volts?.
6. Je usiku muda hakuna jua litawaka? na baada ya kuwaka linahitaji bado nishati ya sola?
***Tafadhali zingatia kujibu haya maswali ili info inayohusiana na bidhaa yako iwe kamilifu zaidi.
Kwa sasa tuko Buswelu njia ya kwenda nyamadoke. Karibu ujionee local innovative idea mkuu.Mwanza sehemu gani ilipo workshop au show room tuje tushuhudie mubashara?
Tungependa kupata na logo pia tutamcheck huyu ndugu kwa huduma zake muhimu.***
pia akumbuke unaweza kumtengenezea logo ya biashara yake.
Huyo Mpwa wako akupe maelezo ya kitechnical zaidi ....
1. Je linachukua muda gani kupata joto hadi uweze kulitumia?
2. Halitoi Moshi?
3. Mawe yanakaa miezi saba hata ukichemshia makande kila siku?
4. Unapolitumia unatakiwa uwe kwenye Jua au hata ukiwa chumbani linapika?
5. Hiyo hapo juu ni solar panel? na kama ndio basi linaweza kutumia umeme mbadala 12Volts?.
6. Je usiku muda hakuna jua litawaka? na baada ya kuwaka linahitaji bado nishati ya sola?
Mapema Leo mchana naweka Documentary inayozungumzia majiko haya kwa kina ambayo kwa kiasi kikubwa itajibu maswali mengi bila kuacha mianya ya maswali yeyote yale.Tafadhali zingatia kujibu haya maswali ili info inayohusiana na bidhaa yako iwe kamilifu zaidi.
Ni kweli kabisa! yana save pesa na nguvu sana tu mkuu, ukiwa na kiroba kizima cha mawe ya kusugulia magaga unasahu kabisa kama kuna gharama za gesi na mkaa hapa duniani.Weka bei mkuu kwa yale mawe ya kusugulia miguu yatageuka deal sasa hivi ngoja leo nikanunue kiroba kizima yakae then nikipata bei niagize langu moja. Miezi saba au hata sita si haba nitakuwa nimeokoa pesa nyingi sana kama nikiendelea kutumia gesi na mkaa.
mimi nimempigia simu, anasema lenye mlango Mmoja ni sh. laki 2 na lenye milango 2 ni sh. laki 2.5...akijibu maswali ya mollel nita take risk kuchukua walau kamoja nikatest...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mawe manne kwa miezi sita?Hongera sana kwa ubunifu ila jitahidi sana kuboresha zaidi maana unaposema inadumu kwa muda wa miezi sita bado ni muda mdogo sana.
Hii hongera Sana. Lakini hata Uganda haya Majiko wanayatumiaMawe manne kwa miezi sita?
Mbona ni muda mrefu sana au mi ndo nimekosea?
love thé love or hâte thé love.....