20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,255
Mkuuu, pole kwanza katika kipindi hiki cha mpito.
Ila la msingi sana, usi disapoint wanaona mengi kwako kivipi??
Yeah, una potential lakini endapo biashara haita work out utapewa lawama na suport itaisha hapo , hapa endapo tu utaajiiba na kutumia ada huko.
Lakini cha msingi, hebu tumia mbinu zako ,huelewa wako kuongea na member wa familia. Waeleze juuu ya mawazo yako, anza na yule unaehisi atakuelewa kwa urahisi hapo utapata njia ya kuanza.
Wazeee , wakikubali na kuto kuwa na hofu juu ya future wako ,utapata baraka zao na full suport za kiuchumi na moyo.
Wape mifano ya watu waliosoma na kusugua game, waambie mwisho wa siku hakuna ajira so lazima ujiajiri hata ukisoma IT. Wape mifano ya watu walio barikiwa na kutoka kupitia biashara , wajuze kuwa ndoto zako ni kuwa miongoni mwao.
Ngumu, it will take time but hakuna lisilo wezekana.
GOD BLESS YOU BROTHER