Recent content by nkundaruwa

  1. N

    Madudu mpya sekretariet ya ajira

    Waliponiua ni pale wanaposema, kama ni muajiriwa tayari usiombe. Unakuta kazi yenyewe inalipa vizuri na tangu umalize Chuo miaka 2 ilopita hujarekebishiwa mshahara.
  2. N

    Hatari Tandahimba, Polisi wateketeza soko na maduka, Mwema na Makamu wa Raisi Watua

    Tujiulize kwa makini sana, kwamba kwanini hi habari hairipotiwi kwny media nyingine kwa nguvu? Nani anaizuia isiripotiwe?
  3. N

    James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

    Akaribishwe. Lkn isije ikawa katumwa ili aje kuomba agombee Arusha Mjini kwa CDM. Akiruhusiwa, itakuwa maafa. Magamba na UWT wana sura nyingi
  4. N

    Nape Nnauye: Alipotoka, alipo na aendapo

    Nahisi yupo njiani kufanya uamuzi sahihi. Siku za karibuni amekuwa akionekana ndani ya gwanda
  5. N

    Novel gani ilikuvutia enzi uko secondary?

    Ni moja ya vitabu vilivyopigwa marufuku. Kiliandikwa na David Mailu wa Kenya. Lugha yake ni kali hasa; japo ujumbe ni mtamu
  6. N

    Novel gani ilikuvutia enzi uko secondary?

    A Common Man - David Mailu. Things Fall Apart - Chinua Achebe
  7. N

    Sakata la malipo ya korosho sehemu ya pili, Tandahimba kimenuka..!

    Tatizo ni soko la korosho kushikiliwa na kAgogo fulani
  8. N

    Mjengwa unamuaibisha shemeji!

    Kwa jina anaitwa MIA MJENGWA.
  9. N

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Kama kumbukumbu zangu ziko vzr, No Challenge ilizama maeneo ya Muheza na siyo Mombo
  10. N

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Unanikumbusha mbaaali. Baadaye ikaja KINDOKYAKOSEMBE
  11. N

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Mmmh, nakumbuka Ngorika (1970), Kizota (AR -TA) TTBS, Comfort, Lang'ata Bus Service. Wa Moshi, mnaikumbuka Maranzana Bus? KIDECO je, mlipanda?
  12. N

    CCM walipanga kulichukua jimbo la Arusha Mjini Kilaini

    Hata Mimi nililiona hilo la kuja kuenguliwa kwa pingamizi. Nashukuru Makamanda wa Demokrasia kwa kuligundua kungali mapema.
  13. N

    Lulu: Sina bwana mchumba wala boyfriend

    Ooh, Nimeipenda hii!
  14. N

    MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

    Naitafakari kauli ya Nape; "kampeni yataka timing!"
Back
Top Bottom