Novel gani ilikuvutia enzi uko secondary?

Novel gani ilikuvutia enzi uko secondary?

Za skuli? Hapana hazikutuvutia kabisa, hao kina chinua Achebe na wenzake kama Ngungi wa Thiong'o tulikuwa tunawapitia kwa sababu ya Marks za darasani. Lakini bila ya kusoma zile za James Hardley Chase basi wewe ulionekana siyo Mkali. Kwa kwa za kibongo nilipenda sana ile ya "Kitanda cha Mauti" ya Hamie Rajabu kama sikosei,na zote tatu za Mzee Musiba (RIP) muhusika wake mkuu akiwa ni Willy Gamba. Kuna za mtu anaitwa Agatha Christie hizo nazo nilizipitia sana!!

musiba namkubali sana hasa kitabu chake cha hofu
 
Kuna kile cha "PILI PILIPILI" na Alfu lela ulela, sofia wa gongo la mbogo.
 
betrayal in the city,three suitors one husband,things fall apart

katika betrayal kuna akina mulili, boss, tumbo! Hivi ni nani aliwasaliti wenzake na kusababisha kifo cha mulili?
 
Back
Top Bottom