Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,451
- 9,967
kuna list kibao ya novels za kiswahili na kiingereza zilipendwa enzi hizo za secondary, me binafsi naikubali sana Kiu ya Haki ya akina Mzee Toboa Mambo, iliyoandikwa na Zainab Mwanga, halafu ya kiingereza niliipenda sana Is it Possible ya akina Lerionka na wenzake.
Hebu na wewe tutajie za kwako!
Hebu na wewe tutajie za kwako!