Recent content by njiapanda2017

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na HALOTEL

    Halotel wako vizur angalieni matumizi yenu mbona mim fresh tu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hataipita njia ya Yusuph Manji, ni 'mjanjamjanja'

    Kama angekubali kupima,kes ya kutumia madawa ya kulevya ingemuhusu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    JamiiForums Tanzania Poleni wanawake wa Dar, Asilimia 33 ni nyingi sana

    Tatizo hapo ni hesabu,dar kuna kuna wanaume wangapi? ukilinganisha na mikoa mingine Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

    Kabisaaaaaa
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

    Fanya maombi ya kutosha make michepko inaloga ile mbaya Theni jitathimini vizur kama unafanya usafi wa kutosha wa kukuwezesha kumvutia ,usafi sio kusuka ,kujipiga pafume kali na kujipodoa .bali ni kuoga vizur ukahakikisha umetakata na fanya mazingira ya kumuonyesha wewe ni ke,unavaa kama...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni nyumba 'ndogo' mnatesa familia zenu

    Hahahaaaaaaa
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni nyumba 'ndogo' mnatesa familia zenu

    Bora ya mchepuko wengine tunaenda kwa madada poa ,ukisha maliza shughuli unajiuliza ulichokipata hakuna zaidi ya maradhi yaani inasitikitisha . Mchepko ndani ya mchepko ni hatariii.Kwa ushaur huo nafunga zip
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mwanza hapafai, msilinganishe na Arusha

    Arusha ni jina tu lakini hamna kitu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Silioni pengo la Niyonzima Yanga

    Niyonzima ni mchezaji wa kawaida si aende ulaya kama akina samata kama anaweza? Tunekuwa naye misim 6na tumefanya nin kimataifa? Wachezaji wapo wengi na pengo litazibika tu kama kawa .Jembe linalokosa uwanjani pengo likaonekana ni Msuva na Ngoma tu.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi mbalimbali kuhusu mwanafunzi atakayepata mimba

    Ni sawa kabisa atakayepata mimba akanyonyeshe tu namuunga mkono raisi,isue hii inabidi ichukuliwe serious kabisa mwanafunzi na mimba wapi na wapi ? politics ndo inaua vijana wetu Tunatetea kwamba atakaye pata mimba aendelee na shule manake unaruhusu ngono shuleni.why
  11. N

    JamiiForums Tanzania Poor waandishi na magazeti ya Tanzania!!?

    Rais ndiye aliyetamuka wazi kuwa wamekubali kulipa deni lote ,Muheshiwa Kikwete alipelelea sana msemo cha kuambiwa nawe tia ya kwako ,Je ni kweli tunawadai?na kama wanasema mtaji wao ni dola billion 6 hela ya kulipa trion mia itatoka wapi? Na kivipi mtu akwambie nakudai wewe utoe mfukoni umlipe...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Shangilia ya Wabunge haina tofauti na Wanafunzi wanaoshangilia Mtihani ulioonekana mwepesi halafu...

    Hahahaaaa,yule mbunge ni 0 kabisa na nashangaa wanao mchagua
Back
Top Bottom