Apigwa Risasi Baada Uume wake Kudhaniwa ni Bastola

Apigwa Risasi Baada Uume wake Kudhaniwa ni Bastola

upload_2017-6-29_9-37-14.jpeg

Bank teller mwenyewe huyo hapo. ana umri wa miaka 83.......
 
Huyo mwanamke alidata tu na hilo dushe mpaka akajisahau akabonyeza alarm..hahaha
 
View attachment 531310 Kijana mwenye umri wa miaka 17 yuko mahututi huko Dertoit Medical Center huko Marekani baada ya kushambuliwa na Polisi akidhaniwa ni jambazi. Kijana huyo alikuwa Benki ndipo uume ulivyokuwa mkubwa na kuvimba kwenye suruali ulimfanya cashier kudhani kijana huyo ameficha bastola kwenye Suruali yake akidhamiria kufanya ujambazi ndipo cashier alipiga kingo'ra cha tahadhari ndipo Polisi walipomvamia na kumpiga risasi kijana huyo.
Kijana huyo mweusi kwa jina Jamal Freeman amelazwa hospitali na hali yake sio nzuri, mama mzazi wa Jamal amesema mtoto wake alipigwa risasi kwasababu ya kibaguzi kwani angekuwa mzungu mweupe asingefanyiwa hivyo. mama huyo alidai watu wenye asili ya waafrika wengi huwa wana umbile kubwa kwahiyo hiyo isije ikawa sababu ya kupigwa risasi.
source: Entertainment News- SDE
 
Wanaume tumeumbiwa tamaa. Nakumbuka siku moja nikiwa chuo tumepanda daladala hii tabia ya dad zetu wa chuo kuvaa nusu uchi alipanda jamaa fln sit zikiwa zimejaa ikamlazimu asimame. Pembeni palikua na dada yupo nusu uchi kweli Mungu kamuumba. Jamaa alitunisha zigo hatar dada kuona vile akapiga kelele kuuuubwa abiria tukahamaku duuuuuuu jamaa alikua kidume. Huenda dogo alikutana na mazingira tatanushi kama hayo hapo bank nae ana hisia mseselo ukatuna kama ilivyo kawaida yetu mabaya yakamkuta. Hata madada wa banks huvaa nusu uchi hata wake za watu. Mungu amponye huyu kijana.
Madada wa bank wanavaa nusu uchi wanaitega ATM nini mana kuna msemo unasema "kama unapenda pesa kaolewe na ATM"
 
Nyani Ngabu amekuruhusu kurusha picha ya hawara yake hapa jamvini? Mbona binadam mnapenda ugomvi hivyo?
Hahaha...mkuu, una utani na pro-magufuli...alhaj Nyani Ngabu😀😀
 
Maskini ina maana hilo "HOGO" lilikuwa na ukubwa gani yarabi!!!!!
 
Kama ni kweli kaonewa,
Basi kijana akipona fidia inamuhusu,ni mwanzo wake kula vinono kizembe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom