Kuweni makini na HALOTEL

Kuweni makini na HALOTEL

Inabidi uangalie vizuri maaana mimi ni kila mwezi najiunga na huwa nabakiza mb 1000 kufika tarehe niliyojiunga na data sizimi u tube kama ibada

Sent using Jamii Forums mobile app
Line yako itakuwa ni zile za mwanzoni kabisa na hujabadili. Mi yangu ilikuwa hivyo hivyo ila baada ya kupotea nika renew sahivi naipata ya freshi.

Bundle la week lile la 1.2GB zamani lilikuwa linakaa mpaka ku expire bado sijamaliza MB zangu ila sahivi likikaa sana ni siku 5.Hapo sijaingia Youtube kabisa ni whatsapp na jamiiforums na surfing kawaida.

Nikiingiaga Youtube tu hata kama niliangalia Video moja tu ikifika kesho yake nitaambiwa sina MB. Yani nishajizoelea sasa, naandaaga hela ya vocha kabisa kisha naingia huko.

Yote 9 usiombe uende mbali na chuo sasa utaipenda, bundle la week linaisha ndani ya siku 3 tu with only surfing. Mfano. utoke UDSM uende labda Ukonga, Ukiwa huko bando linasepa kama maji tofauti na ukiwa maeneo ya chuo pale pale.

Sio siri jamaa wameanza kuturudisha kulekule kwa vibaka wazoefu the blues n the reds. Thanks to these guys fucking the 7% market share tuliowapa in a matter of less than 3 years!
 
Halotel wamekuwa majambazi sanaaa tu, nahakika hawa jamaa wanaiba mb, naungaga kifurushi cha mb peke yake kile cha 2000 , ila cha kushangaza unaweza tumia mb 1000 tu.

driller⛏⚒
 
Habarini?
Hawa jamaa wa halotel wanachofanya si kizuri.
Leo mchana nilijiunga kifurushi cha mitandao yote cha 499 na cha MB 110 jumla ni sh 1000.
Sasa kwa bahati mbaya nilijiunga kifurushi cha halo tel kwenda halotel nilipo mpigia mtu wa tigo salio lilikata.
Nikapanic na kuangalia salio cha ajabu nikakuta kuna dakika 20 za halo tel kwenda halotel.
Lakini MB ZIPO 105.NI KASHANGAA.
imekuwaje MB ziwe 105 wakati nilijiunga kifurushi cha MB 110 na isitoshe nilijiunga kifurushi cha mitandao yote ( kwa bahati mbaya)na wakanipa MB 5.jumla zikawa MB 115.hizo MB 10 zimekwenda wapiii?wakati sikutumia internet ?nikagundua kwamba hawa jamaa wanatupiga juu kwa juu.unaweza ukajiunga kifurushi labda cha MB 300.wakakufanyia ujanja wakakupa 250.na vile watu tukisha jiunga bando tuna kimbilia moja kwq moja kuwasha data.ndo imetoka hyo.IMEKULA KWETU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuunga mkono mkuu!!

Kuna siku nilikua na 76MB, nikasema ngoja niingie JF nisafishe macho duuu ndani ya dakika kumi nikaletewa meseji kwamba nimebakiwa na 5MB nikabaki nashangaa!! nikazima data hapo hapo nikakaa dakika chache nikaambiwa MB zimeisha! sasa nikajiuliza data nimezima hizi mb5 zimeishaje???

Hawa jamaa watufanyia usanii, nimeamua kuwaweka benchi kwanza, nimempa namba voda japo hapa nilipo wanasumbua kushika netwek ila bora usumbufu wa kushika netweki kuliko wizi bando!!
 
Bhana leo. Nimejiunga tena.nimegundua zile MB 10.
Zina kwenda kwenye notifications.yaani ukiwasha DATA tu,
MB 10 zimeenda Hapa sasa ZIMEBAKI MB 100 KAMILI.
LAKINI NI KWELI KU LOAD NOTIFICATIONS NDO ZIENDE MB 10?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halotel majambazi sana wa MB,

Yani bora ufujaji huo ungefanyika kwenye dakika na meseji ambazo huwa sio dili sana sikuhizi. Ila unamuibia mtu kitu anachokitumia zaidi...Data bundle..MB's Seriously???!

Wanafeli sana hawa jamaa!!!
 
Hivi vijamaa ni vijizi haijwahi kutokea,

Nimenunua MB 1500 za 2000.nimeshangaa shangaa kama saa zima naambiwa,umebakiwa na MB 500.
 
Back
Top Bottom