Tundu Lissu hataipita njia ya Yusuph Manji, ni 'mjanjamjanja'

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Mfanyabishara maarufu nchini Tanzania na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji kwasasa yuko mahabusu huku akiwa na mashtaka kadhaa mahakamani. Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA; Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa TLS naye yuko mahabusu tayari kwa kufikishwa mahakamani. Inaelezwa, uchunguzi unaendelea.

Manji alikamatwa. Akahojiwa. Akawekwa mahabusu. Akapelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kufanyiwa vipimo vya mkojo. Akafunguliwa mashtaka ya kutumia madawa kabla ya mapya ya vifaa vya kijeshi na nyaraka mbalimbali. Lissu alikamatwa. Akahojiwa. Akawekwa mahabusu. Akapelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali. Akagoma kupimwa.

Hakika, Lissu hawezi wala haitakuwa rahisi kupitishwa njia aliyopitishwa Yusuph Manji. Lissu ni 'mjanjamjanja' wa kisheria. Anajua anachokisema au anachokifanya. Anajua cha kukataa na kukubali. Anajua cha kupimwa na cha kukataa kupimwa. Anajua kutetea wengine na yeye mwenyewe mahakamani.

Kilichobaki ni kumpeleka mahakamani na kumsomea mashtaka tu kwa kile alichokuwa akishikiliwa na kuchunguzwa kwacho.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kibiti, Pwani)
 
Polisiccm hawafanyi kazi kwa mujibu wa sheria bali wanafanya kazi kwa mujibu wa zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM
 
Kwamba wanahisi ni mjamzito?
IMG_20170724_110536.jpg

Hapana,maana hata Manji nae alipimwa

May Allah bless Me and You
 
Mfanyabishara maarufu nchini Tanzania na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji kwasasa yuko mahabusu huku akiwa na mashtaka kadhaa mahakamani. Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA; Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa TLS naye yuko mahabusu tayari kwa kufikishwa mahakamani. Inaelezwa, uchunguzi unaendelea.

Manji alikamatwa. Akahojiwa. Akawekwa mahabusu. Akapelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kufanyiwa vipimo vya mkojo. Akafunguliwa mashtaka ya kutumia madawa kabla ya mapya ya vifaa vya kijeshi na nyaraka mbalimbali. Lissu alikamatwa. Akahojiwa. Akawekwa mahabusu. Akapelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali. Akagoma kupimwa.

Hakika, Lissu hawezi wala haitakuwa rahisi kupitishwa njia aliyopitishwa Yusuph Manji. Lissu ni 'mjanjamjanja' wa kisheria. Anajua anachokisema au anachokifanya. Anajua cha kukataa na kukubali. Anajua cha kupimwa na cha kukataa kupimwa. Anajua kutetea wengine na yeye mwenyewe mahakamani.

Kilichobaki ni kumpeleka mahakamani na kumsomea mashtaka tu kwa kile alichokuwa akishikiliwa na kuchunguzwa kwacho.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kibiti, Pwani)
wakitaka mkoio atatoa tu labda awe hakojoi. watu wamemtia nguvuni ndio watashindwa kama ipo sababu kisheria kumpima mkojo?
 
\
Mfanyabishara maarufu nchini Tanzania na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji kwasasa yuko mahabusu huku akiwa na mashtaka kadhaa mahakamani. Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA; Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa TLS naye yuko mahabusu tayari kwa kufikishwa mahakamani. Inaelezwa, uchunguzi unaendelea.

Manji alikamatwa. Akahojiwa. Akawekwa mahabusu. Akapelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kufanyiwa vipimo vya mkojo. Akafunguliwa mashtaka ya kutumia madawa kabla ya mapya ya vifaa vya kijeshi na nyaraka mbalimbali. Lissu alikamatwa. Akahojiwa. Akawekwa mahabusu. Akapelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali. Akagoma kupimwa.

Hakika, Lissu hawezi wala haitakuwa rahisi kupitishwa njia aliyopitishwa Yusuph Manji. Lissu ni 'mjanjamjanja' wa kisheria. Anajua anachokisema au anachokifanya. Anajua cha kukataa na kukubali. Anajua cha kupimwa na cha kukataa kupimwa. Anajua kutetea wengine na yeye mwenyewe mahakamani.

Kilichobaki ni kumpeleka mahakamani na kumsomea mashtaka tu kwa kile alichokuwa akishikiliwa na kuchunguzwa kwacho.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kibiti, Pwani)

Kwa mantiki hiyo mnataka kumbakiza matumizi ya madawa ya kulevya? Hivi kwa nini ninyi binadamu mnachezea sana raslimali watu za taifa ambazo kama mngezitumia kwa hekima zingeipaisha sana hii nchi katika nyanja zote na kwa watu wa viwango vyote? Mna nini nyie?
 
Mfanyabishara maarufu nchini Tanzania na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji kwasasa yuko mahabusu huku akiwa na mashtaka kadhaa mahakamani. Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA; Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa TLS naye yuko mahabusu tayari kwa kufikishwa mahakamani. Inaelezwa, uchunguzi unaendelea.

Manji alikamatwa. Akahojiwa. Akawekwa mahabusu. Akapelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kufanyiwa vipimo vya mkojo. Akafunguliwa mashtaka ya kutumia madawa kabla ya mapya ya vifaa vya kijeshi na nyaraka mbalimbali. Lissu alikamatwa. Akahojiwa. Akawekwa mahabusu. Akapelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali. Akagoma kupimwa.

Hakika, Lissu hawezi wala haitakuwa rahisi kupitishwa njia aliyopitishwa Yusuph Manji. Lissu ni 'mjanjamjanja' wa kisheria. Anajua anachokisema au anachokifanya. Anajua cha kukataa na kukubali. Anajua cha kupimwa na cha kukataa kupimwa. Anajua kutetea wengine na yeye mwenyewe mahakamani.

Kilichobaki ni kumpeleka mahakamani na kumsomea mashtaka tu kwa kile alichokuwa akishikiliwa na kuchunguzwa kwacho.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kibiti, Pwani)

Kwa maoni yangu naona wanampandishia Lissu chati yake kisiasa kuliko kama wangeamua kumpotezea kwa alichosema! Kwa sasa idadi ya sympathisers wake inazidi kuongezeka na naamini kabisa kuna ccm wengi wako kwenye kundi hilo pia kutokana na ujasiri wake wa kuweza kusimama hadharani na kumnyooshea kidole mtukufu sana!
 
Natamani nione shahidi atakaekuwa kwenye hiyo kesi ya Lissu.

LiSSU: Kutoa maoni kunazuiliwa kisheria?

SHAHIDI: Hapana

LISSU: Kusema Rais huyu ni mkabila kunazuiliwa kisheria?

SHAHIDI: Ndio

LISSU: Sheria gani?

SHAHIDI: Sijui

Tayali kesi imeisha.
 
pia ataomba Mtukufu anayedai kutkukanwe aende mahakamani kutoa ushahidi wa matusi.
 
Hana cha ujanja wowote, si kakataa ku cooperate (kupimwa mkojo) basi ataendelea kukaa mahabusi mpaka Polisi watakapo kamilisha upelelezi kwa kutumia vyanzo vingine

Kama angelikubali kupimwa mkojo nadhani mda huu angelikuwa mtaani
 
Mjomba umefanya Mpwao niwashangae tu kwamba siku hizi UCHOCHEZI unaonekana kwenye MKOJO??NA toka lini mwanaume aliyepita Sunna anapata UTI?Naona kwa sasa CCM mmeshindwa kutuleeta maendeleo mmebaki kuanza kutibu UTI za waheshimiwa??
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom