Recent content by njex

  1. N

    JamiiForums Tanzania Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Naomba kujua ofisi ya dar inayohusiana na masula ya bitcoin club ipo wapi?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikwambia atakuja kwako kukutembelea anakua anamaanisha nini?

    Hiyo mimi iliwahi nitokea enzi za ujana wangu.Huyo binti tulikuwa tukifanya naye kazi ofisi moja ila sikuwa na mpango naye wowote zaidi ya mahusiano tu ya kawaida ofisini.Lakini wakati huo nilipata shida kdg na mwandani wangu na yeye kwa kuwa tulikuwa ofisi moja alijua kuwa nipo single kwa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Baada ya kusoma kuhusu kilimo hiki humu ndani nimeamua kujaribu Nimekodi shamba sehemu za Kilombero Morogoro pembeni ya mto Ruaha.Mto ambao unatoa umeme wa kidatu. nimeshalima na andaa kuchimba kisima au naangalia uwezekano wa kutumia maji ya mto. Tatizo ni mbegu.Kariakoo zinauzwa 15,000/ kwa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kigugumizi goli la Kichuya,na penati waliyonyimwa Mbeya City.

    Simba ndo wanaoongoza kulialia khs waamuzi.Leo wao wanufaika wanachekelea.Siku zingine Povu linawatoka aheri lile la foma gold!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tujadili: Zipi ni faida na hasara za kuwa na mifuko Miwili ya hifadhi ya jamii tofauti na sasa ambapo kuna mifuko mingi?

    Kwa wale wabunge wa Ccm ambao wao ni kama rubber stamp watalipitisha hili bila hata ya kulijadili vzr.Lkn kwanza mtu unatakiwa kujiuliza.Itaunganishwa kwa formula ipi? Kila mfuko una mtaji na asset tofauti.kila mfuko una makato tofauti na calculation ya mafao tofauti.haeaoni hii italeta...
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Dereva amgonga trafiki aliyemsimamisha na kukimbia

    Yule trafiki wa Mwenge mnoko sana.Akikuona tu na gari basi anapanga ni kosa gani akubambike.Wagongwe tu kwa kweli maana si waelewa hata kidogo.Wao wanafikiri mtu kuwa na gari ni kwamba una kisima cha hela mahali unachota tu na kuzigawa ovyo barabarani.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameirudisha nchi kwa wananchi

    Mimi sikubaliani na wote wanaompongeza rais kwa sababu tangu aingie madarakani umaskini ndo umeingia.Wafanyakazi na watu waishio mijini hawana hela,watu wa vijijini nao vilevile hali ni mbaya zaidi.Watu wa mikoa ya kusini ambao mahindi ndo tegemeo yamezuiliwa kuuzwa nje.Wananchi wamebaki na...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nyalandu alishinda ubunge kwa rushwa - CCM

    Hii sasa ni mara ya pili Ccm kukiri hadharani kushinda kwa kutumia rushwa.Tumesikia madai ya rushwa kwenye chaguzi za vijana.Wanatuhumiana na leo m/k mkoa anakiri hadharani.Uhalali wao upo wapi? Walikuwa wapi kumsuta miaka yote hii? Kwa kweli mfa maji haachi kutapatapa.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba SC jitokezeni tumsaidie Haji S Manara.

    Simba kila mwaka anaanza kuwa Simba lkn mwishoni anakuwa paka.Hivyo Wanayanga wasihofu Simba tayari anaelekea kibra kama kawa!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mimi United damu ila hii game yetu ya leo na Huddersfield tutadraw 0 vs 0

    Dogo wenu Rashford kachomoa kimoja.FT Man 1 Watu wasiojulikana 2.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye info kilimo cha Soya

    Tafadhali mwenye taarifa za kilimo cha soya,mchanganuo wa gharama kwa ekari na masoko.Changamoto zake n.k.Nimepenyezewa habari kuwa Songea mwaka huu wengi wametajirika na kilimo hicho.Karibu jamani tusinyimane hiyo fursa.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Njombe forest plantation

    Mko wapi njombe? I mean ofisi ipo mahali gani na gharama zenu zipoje mkipanda ekari 1? shamba mnasaidia kutafuta au nijitafitie mwenyewe?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Ok asante
  14. N

    JamiiForums Tanzania Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Kwa dsm inafanyikia wapi? inafanyika siku gani? mtu anayetaka kujiunga aje na nini zaidi ya kiingilio cha 130,000/?
Back
Top Bottom