Nyalandu alishinda ubunge kwa rushwa - CCM

Nyalandu alishinda ubunge kwa rushwa - CCM

Kama kuna mahakama ya haki nadhani kwa ushahidi huu wa kiongozi wa juu kama huyu dhidi ya mtu wake mwenyewe, muda muafaka ni huu aliyekuwa wa 2 aende mahakamani na uamuzi utoke kuwa apewe ushindi kwani aliyeshinda hakushinda bali hilo lilikuwa goli la mkono. Hili lingelisaidia kuokoa fedha za kuurudia uchaguzi
 
Martha ubarikiwe na Bwana wa Israeli kwa haya maelezo yako ambayo yanthibitisha kauli ya mtu mmoja kwamba hicho chama chako na rushwa ni damu damu. Kwa kuwa kawaacha solemba ndo siri zake zinatolewa nje. Hongera sana
 
Bora ukae kimya........ Hivi hii nyimbo huijui eeeee kwan mbunge gan ccm hakupita kwa rushwa,?????????
 
Inaonekana nyarandu ni jembe sana, maana vikundi vya ngonjera vya chama cha magufuli kila uchwao haviishi kumuimbia ngonjera mpya.

Kweli kuhama kwa Nyarandu ni pigo kwa chama cha magufuli ndio maana kila kukicha wanajipanga wamuongelee vipi.
 
Ha ha haaaaa,albadili imeanza kufanya kazi.Wameanza kutoa siri zao.
Mpaka tuwajue wasiojulikana;shwain ccm
 
Samahan kwa kutoka nje ya mada.

Wakuu iv Tz rais tunamchagua au wanamchagua?
 
Hii sasa ni mara ya pili Ccm kukiri hadharani kushinda kwa kutumia rushwa.Tumesikia madai ya rushwa kwenye chaguzi za vijana.Wanatuhumiana na leo m/k mkoa anakiri hadharani.Uhalali wao upo wapi? Walikuwa wapi kumsuta miaka yote hii? Kwa kweli mfa maji haachi kutapatapa.
 
Mwenyekiti Wa CCM Mkoa Wa Singida, Martha Mlata Amesema Kuwa Lazaro Nyalandu Alianza Kuwa Shida Tangu Alipoteuliwa Kuwa Naibu Waziri Wa Viwanda Na Biashara, Aliposhindwa Kufanya Kazi Za Ubunge Jimboni Kwake.

"Kwa Hiyo Akawa Mzigo Jimboni Kutokana Na Kutofika Na Akifika, Anasimama Jukwaani Dakika Mbili Halafu Anashuka Huku Kukiwa Hakuna Cha Maana Alichokiongea. Na Hata Alipokuwa Jimboni, Hakuweza Kuwatetea Wananchi Wake Na Hatimaye Akawa Bubu Kabisa" - Mlata.

Mlata Alidai Kuwa Katika Kipindi Chote Cha Ubunge, Nyalandu Hakuwahi Kushinda Kwa Kupigiwa Kura Na Wananchi Zaidi Ya Kuhonga Wapiga Kura Na Shughuli Zote Za Ubunge Zilikuwa Zikifanywa Na Wasaidizi Wake Watatu Na Yeye Anafika Jimboni Ikiwa Zimebaki Siku Saba Za Uchaguzi.

MY TAKE:
Nadhani Nikisema CCM Haina Dhamira Ya Dhati Kupambana Na Rushwa Sitakosea. Mlishindwaje Kumshtaki Nyalandu Kwa Kutoa Rushwa Ili Ashinde Ubunge, Mkasubiri Ahame Mfanye Siasa Za Utapeli Na Kutapa Tapa? Hakika Kuachwa Kubaya.
Kwa hiyo wewe ushahidi wako kuwa Nyalandu hakuhonga ni kwa sababu hakushitakiwa? Basi? Wahongaji huhonga hela, kama hujui, hii ni pamoja na mshitaki na mashahidi ba hakimu. Kwa vile hakushitakiwa huo ndiyo ushahidi tosha kwamba alihonga. Inawezekana hata wewe kakuhonga umtetee haoa - wahongaji ndivyo walivyo. Wataenda waraenda lakini baada ya siku 40 hushikwa, hizi ndiyo arubaini za Nyalandu anzua Faru John na Aunt Ezekiel. Na wanaompa ndege kwenda hospitsli Marekani ni hawohawo wawindaji, mwulizeni wamempendea nini wahe hivi hivi? Tundulissu ilikuwa naye aende USA diaspora ila sijui imefikia wapi labda Mbowe alikataa? Wakati mwingine Mbowe ni mzalendo.
 
Huyu gospel singer bora asingeongea naona bado hajajitambua
 
Mbona hata huyu fulani naye tunajua pia naye hajashinda .
 
Sasa hii inatusaidia nini? Huyu hastahili kuwa kwenye position aliyopo.
 
Viongozi wa CCM ni janga la kitaifa. Takukuru mkoani Singida wangekuwa huru, huyu mama angeitwa na kuhojiwa ila atoe ushahidi vizuri
 
Mbona ni kawaida yao. So leo ndo imekua ishu kubwa kwa sbb yupo nje ya mfumo wa chama chakavu?
 
Back
Top Bottom