Recent content by Njema kabisa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Vanessa Mdee alistahili tuzo ya mwanamziki bora wa kike

    Hivi ile blog ya Millard ayo hawaruhusiwi kuripot habari za burudan zinazoandaliwa na media nyingine tofaut na clauds? Jana ilikua ndo siku ya Tuzo za EATV nimeangalia hawajaripot chochote kuhus hizo tuzo badala yake wameripot tu Skul bash hii ikoje wadau
  2. N

    JamiiForums Tanzania Sakata la Wabunge wa CCM kuhongwa: Mbowe aongea na wanahabari

    Ahaa Ahsante mkuu kwa kunielewesha
  3. N

    JamiiForums Tanzania Sakata la Wabunge wa CCM kuhongwa: Mbowe aongea na wanahabari

    Taarifa haijaeleweka Mbowe akiongea Sauti ina scratch je ni hujuma? Au mitambo tu ndo imeleta shida?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: EFM wajibu mapigo kwa Clouds Media, kuanzisha TV yao

    Hivi hamna namna ya kuajiri kizazi kipya? Mbona wenye taaluma kama hizo wako mtaan wengi tu? Inashangaza sana Efm kuwania watangazaj na Clauds wakat vijana kibao wenye taaluma wako mtaan badala yake wanaajiri watu maarufu wasiokuwa na taaluma alaf wanategemea kuongeza wasikilizaji kuna watangazi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watangazaji wa ITV/Radio One hawagombewi na Clouds FM pamoja na E FM?

    Coz wana ueledi katika kazi na wanafahamu miiko ya utangazaji/uandishi. kingine wana taaluma ya hiyo kazi hawaja ajiriwa kwa umaarufu wao bali kwa taaluma yao, huku kwingine ukiwa maarufu tu unapata ajira hata Kama hujaenda shule.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Aliyetoa taarifa za maiti kufufuka ikiwa mochwari ashikiliwa na Polisi

    kwa styl hii wengi hufia mochwar kwa ile barid ya majokofu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: EFM wajibu mapigo kwa Clouds Media, kuanzisha TV yao

    Hivi hamna namna ya kuajiri kizazi kipya? Mbona wenye taaluma kama hizo wako mtaan wengi tu? Inashangaza sana Efm kuwania watangazaj na Clauds wakat vijana kibao wenye taaluma wako mtaan badala yake wanaajiri watu maarufu wasiokuwa na taaluma alaf wanategemea kuongeza wasikilizaji kuna watangazi...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Barua ya Vitali Maembe kwa Rais Magufuli

    Mmh
  9. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa chuo cha maswala ya afya

    Thanks mkuu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kujifunzia kozi fupi ya Video Editing

    Mkuu shukran bt naomba kama unaweza nielekeza jins ya ku download Pinnaco 12 or 15 full package na isiwe trial mkuu thanks
  11. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa chuo cha maswala ya afya

    Husika na kichwa cha habar juu, kuna mwanafunz kapata D2 za biology na chemistry anatafuta chuo chochote cha maswala ya afya mfano. Nursing,Laboratory n.k anaweza kupata chuo? Kwa hapa dar?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume, zingatieni usafi

    Alaf kashajitambulisha et Pro 47 ni mwanaume
  13. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kujifunzia kozi fupi ya Video Editing

    Dah mkuu unaupendo wa Agape nataman ungekuwa hapa dar mkuu aseee nataman hata kusafir nije dah na Abarikiwe alie kuzaa mkuu, na Mungu akubarik sana watu ka nyie ni wachache sana mbal na uchache wenu kupitia nyie Mungu hupunguza hasira za kuingamiza dunia!! Japo mkuu avatar yako haijaenda na Moyo...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mchaga azidiwa ujanja

    Wachagga tunaonewa jaman yaan haipit cku bila thread juu yetu kuanzishwa..all in all tunatisha sanaaa
Back
Top Bottom