geometry
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 466
- 356
kuna docta alitangaza anatibu magonjwa yote kwa tsh laki moja,na kama akishindwa kukutibu anakurudishia lak yako na anakuongozea laki nyengine
Mchaga akaona hii fursa yakujipatia hela akaenda kutibiwa
Docta:Unaumwa nin
Mchaga:Ulimi wangu hauwezi ku taste kabisa
Docta:Nesi mpe kopo namb 27 anywe
Mchaga :uh puh uu si mkojo huu
Docta:Umepona umeweza ku taste karibu tena
kesho yake mchaga akarudi tena hakuamini hela yake imeenda bure
Mchaga:Nina tatizo la kumbukumbu nasahau sana
Docta:Nesi mpe kopo namb 27 anywe
Mchaga:Aisee chalii yangu hilo sindo lile lile kopo la jana
Docta:Umepona kumbukumbu unayo