Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,261
- 18,253
Kila la kheri ila kama una UZA jikaze tu.kila kazi ina changamoto zake.ha ha ha ha
Sijui umesema hvy ili kumfurahisha nani?
Ila kiukweli umekosea sana,
Huwezi kumwambia mwanamke mwenzako hvy,
Kwa hiyo sentensi yako ya mwisho inaonesha kbs ww ndio kazi yako.