GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,516
- 108,791
Rejea tu kichwa cha Habari kama unavyokiona hapo juu na karibu katika ' kutiririka '. Swali ni kuntu kabisa na liko direct.
Kitenge alitokea radio gani vileRejea tu kichwa cha Habari kama unavyokiona hapo juu na karibu katika ' kutiririka '. Swali ni kuntu kabisa na liko direct.
Hivi mkuu Tv inakuwa na mtangazaji(presenter) kama kivuyo,unafiri utafika wapi mkuu..!!! Mahadithi,ma-misemo,mahistoria biased kibaaooo ya nini sasa kwny modern industry ya television markert..!?
Kwa sababu Clouds siku zote wanatafuta mazezeta na watu wa kuwauzia unga.
Wanaiba mambumbu wasiojielewa wakamchukue sammisago au Sulla kama wanaweza, hiyo ni brand inajengwa na watu wakujielewa na wenye mtazamo wa Kwa jamiiMaulidi kitenge, Omar Katanga-walitoka Radio 1,wako Efm hawa sio wako tuu efm wamefanya mapinduzi ya utangazaji habari za michezo
Millard Ayo-alitoka ITV/Radio One, yupo Clouds media, huyu maye amefanya mapinduzi kwenye utangazaji wa habar za burudani ni zaid ya mtangazaji
Regina mwalekwa alienda clouds ila hakukaa sana akaenda BBC nadhani.
*watangazaji walioko Itv/radio one wengi wana jua na wakitoka pale huwa wana piga kazi safi sana popote watakapo enda, pia maudhui ya clouds ni burudani tofaut na maudhui ya radio 1, ndio maana clouds huiba sana wale watu wa redio pacha ya radio 1, yaani EA radio