Njema kabisa
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 699
- 238
Husika na kichwa cha habar juu, kuna mwanafunz kapata D2 za biology na chemistry anatafuta chuo chochote cha maswala ya afya mfano. Nursing,Laboratory n.k anaweza kupata chuo? Kwa hapa dar?
Thanks mkuuKwa pass hizo akasome community health
atembelee tovuti ya wizara nadhani deadline Ni April