Recent content by Nicole Tumaini

  1. N

    Gadner G. Habash arudi rasmi Clouds FM

    Shafii Dauda Akiwa na Captain G habash wakati akisaini mkataba wakurejea Clouds Fm.
  2. N

    Rais Magufuli apiga simu Clouds TV na kuwapongeza kwa kipindi cha Clouds 360

    Safi sana,mheshimiwa rais ameonesha jinsi gani anathamini na kupongeza vitu vizuri vinavyofanyika.
  3. N

    CHADEMA ni kichwa cha Mwendawazimu

    Tatizo weqwe huwa unakaa unahadithiwa mambo ndio maana
  4. N

    CHADEMA ni kichwa cha Mwendawazimu

    Mimi ninawashangaa sana wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Wao pamoja na Mwenyekiti wa Freeman Mbowe wamekua wakilalamika sana kua Serikali inaongozwa kama kichwa cha mwenda wazimu kwa sababu Wakurugenzi wa mashirika mbalimbali wametimuliwa na kuyaacha mashirika hayo...
  5. N

    Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

    Nadhani kuna kosa moja watu wanaweza kujikuta wanalifanya bila kujijua – kuingilia ugomvi na kesi zisizowahusu au kuzishobokea kwakuwa anayesemwa wanamchukia na wao pia. Ukifatilia historia ya Mange kumsakama January haikuanza jana wala juzi. Ni mtu ambaye watu wengi aliowahi kuwa na urafiki nao...
  6. N

    Ushahidi tuhuma za January Makamba

    Wabongo tumezidi kuishi kwa matukio na umbea umbea,haya sasa umbea wote sasa kwisha, tuchunge yale tunayo yaongea kabla ya kupalia makaa jambo ambalo huna ushahidi nalo.
  7. N

    Mizania ya haki; Kile alichopaswa kufanya Makamba jr

    Haki haitafutwi kwa mange kama yeye ana ushahidi wa hayo yote anapaswa kwenda kwenye vyombo husika ili kudai haki yake, mange ndio hakimu?? wabongo tuache ushabiki
  8. N

    Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

    so kumbe nguvu ya mihemko ya kisiasa ndio inatawala huu mjadala na sio kutafuta uhalisia, hakuna mashiko kumbe ni ujinga mtupu.
  9. N

    Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

    hahahahahaha umtumbue mtu jipu kwa ushahidi wa mange kimambi, mropokaji namba moja. mwisho wa ubaya aibu!!!!!! naomba kuuliza hivi mange anashida gani na january maana amekua kama kupe kutaka kumzushia zushia uwongo kila wakati,
  10. N

    Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

    swali la msingi sana, i second that.
  11. N

    Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

    hahahahahaha mange bado hajaacha tu kufuata fuata waume za watu, lol nimekuvulia kofia, umeshindwa kufanikiwa kumchafua january kwenye mengi, sasa umeamua katika hili. wewe na huyo tapeli wako mzungu na story yenu ya kusadikika msyuuuuuuu.
  12. N

    Kiongozi mkubwa BAVICHA kujiunga na UVCCM kesho

    kuota usiku sio tatizo,ila kuota mchana ni tatizo. piga kura rudi nyumbani kusubiri matokeo, ignorance of law has no defence, rejea unlawful assembly kama unahakika ndoto yako ya kulinda kura inaweza kufanikiwa.
  13. N

    Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

    ha ha ha ha nafurahishwa na watanzania wanao piga kelele pasi ya kujua ni kitu gani kinaendelea.shtuka wewe mtanzania unaefuata siasa za mihemko.
  14. N

    Siku kama ya leo

    siku kama ya leo nakushauri ukimaliza kupiga kura rudi nyumbani.
  15. N

    Hotuba za Mzee Mwinyi, Dr. Shein na Dr. Magufuli Mnazi Mmoja Zanzibar

    kingunge, lowassa, sumaye, mwapachu old pigs with new faces, you suck
Back
Top Bottom