Ushahidi tuhuma za January Makamba

Ushahidi tuhuma za January Makamba

Mkuu hata hizo emails za Neville hazina time stamps.
Eti 2 hours ago
Ha ha ha ha
Unajua unapokuwa mwana Propaganda shurti uwe smart kidogo
Wajua kuna watu wana hitaji kutumbuliwa.. Mtu kama huyu aliye leta utetezi hapa jukwaani ange stahili kuhojiwa na PCCB kwasababu inaonekana anahongwa kuja kuleta ujinga sehemu hii. Kweli mtu na akili yako una anzisha post ambayo haina hata muelekeo. Barua yenyewe anwani ya juu ime pastiwa nembo ya Freemanson. Means inatoka makao makuu. Haha. Hawa ni wa kutumbuliwa tu.
 
Hivi kuna tofauti ya Zitto na Makamba? Hata aliyeleta uzi ni Mchange! Unakanusha nini wakati Makamba amekiri kupokea fedha na kumuunganisha na Waziri wa uchukuzi?
Tuwe tunasema ukweli kunogesha mjadala, Makamba hakukiri kupewa pesa na Mtaliano, anachosema alisaidiwa pesa za kusaidia Website ya Bumbuli na dada yake, hakujua dada yake kasaidiwa na shemeji, Kazungumza kwa kishwahili fasaha sio kilugha.
 
Kwa mtu aliyeona ama kusikia aina ya lugha ya ovyo kabisa uliyokuwa ukitumia dhidi ya viongozi wa chadema wakati wa uchaguzi uliopita ni dhahili atapuuza chochote utakacholeta hapa, unakosa umakini,staha, busara na utulivu wa akili wa kutosha kiasi kwamba ni ngumu wewe kuaminika,haishangazi hata kwenye ubunge ulipata matokeo mabaya sana
 
Wakuu.
mtakumbuka kuwa mwaka 2013 mwishoni, bila huruma, bila kujiuliza mara mbilimbili, mitandaoni kote, vijana kwa wazee walisimama kidete kumshambulia aliyekuwa naibu katibu mkuu wa chadema kipindi hicho ndugu Zitto Kabwe kuwa amehongwa mabilioni na wanaCCM kukihujumu chama chake.

jana kukazuka mjadala kama huo ulioanzia mitandaoni humu humu kumuhusu mwanasiasa kijana mwengine January Makamba safari hii huyu akihusishwa na dada yake kutumia vibaya madaraka na kujinufaisha mpaka kufikia kiasi cha kudaiwa kumdhulumu aliyeitwa muitaliano Vincenzo Nizzolino.

leo Raia huyo wa Italia Vincenzo Cozzolino aliyesababisha mtafaruku mkubwa jana baada ya kuvujisha mazungumzo yake kwenye mitandao ya kijamii na mpenzi wake wa zamani Mwamvita Makamba amejitokeza hadharani na kuomba radhi kwa kuihusisha familia ya Makamba na ufisadi.

Katika taarifa aliyoitoa kwa vyombo vya habari leo mchana, Vincenzo amesema alifadhaika kutokana na familia ya Makamba kushindwa kumsikiliza baada ya ugomvi wao na kuongeza kuwa hakuwahi kutoa kiasi chochote cha pesa kwa January wala hakuwahi kumuomba amsaidie katika biashara zake. Pia amesikitishwa na kitendo cha Mange Kimambi kuingiza masuala ya siasa katika mtafaruku wake na Mwamvita. Kwa Habari zaidi, soma taarifa yake aliyoituma kwa Neville Meena, Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima hapo chini;.

ushauri.
kabla hatujahukumu, ni vema tukajiridhisha kwanza kuhusiana na tuhuma mbalimbali, hata kama tunawachukia namna gani watu waliotajwa.
wasalaam.
Mbona hiyo barua inaonyesha imeandikwa mwaka 2006?!!
NAONA VIJANA
WANATENGENEZA KUTULIZA MAKALI
 
Naanza kukumbuka jamaa alivyokuwa akihaha kuutafuta uwaziri mkuu. Sasa sijui ndio ilikuwa sehemu ya dili za muitaliano
 
Wakuu.
mtakumbuka kuwa mwaka 2013 mwishoni, bila huruma, bila kujiuliza mara mbilimbili, mitandaoni kote, vijana kwa wazee walisimama kidete kumshambulia aliyekuwa naibu katibu mkuu wa chadema kipindi hicho ndugu Zitto Kabwe kuwa amehongwa mabilioni na wanaCCM kukihujumu chama chake.

jana kukazuka mjadala kama huo ulioanzia mitandaoni humu humu kumuhusu mwanasiasa kijana mwengine January Makamba safari hii huyu akihusishwa na dada yake kutumia vibaya madaraka na kujinufaisha mpaka kufikia kiasi cha kudaiwa kumdhulumu aliyeitwa muitaliano Vincenzo Nizzolino.

leo Raia huyo wa Italia Vincenzo Cozzolino aliyesababisha mtafaruku mkubwa jana baada ya kuvujisha mazungumzo yake kwenye mitandao ya kijamii na mpenzi wake wa zamani Mwamvita Makamba amejitokeza hadharani na kuomba radhi kwa kuihusisha familia ya Makamba na ufisadi.

Katika taarifa aliyoitoa kwa vyombo vya habari leo mchana, Vincenzo amesema alifadhaika kutokana na familia ya Makamba kushindwa kumsikiliza baada ya ugomvi wao na kuongeza kuwa hakuwahi kutoa kiasi chochote cha pesa kwa January wala hakuwahi kumuomba amsaidie katika biashara zake. Pia amesikitishwa na kitendo cha Mange Kimambi kuingiza masuala ya siasa katika mtafaruku wake na Mwamvita. Kwa Habari zaidi, soma taarifa yake aliyoituma kwa Neville Meena, Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima hapo chini;.

ushauri.
kabla hatujahukumu, ni vema tukajiridhisha kwanza kuhusiana na tuhuma mbalimbali, hata kama tunawachukia namna gani watu waliotajwa.
wasalaam.
Wabongo tumezidi kuishi kwa matukio na umbea umbea,haya sasa umbea wote sasa kwisha, tuchunge yale tunayo yaongea kabla ya kupalia makaa jambo ambalo huna ushahidi nalo.
 
Meena mwandishi wa habari ana kiingereza kibovu hivyo... dah! aibu

sasa sisi ma Engineer itakuaje! 😀
 
Niliweka comment mahali leo kuwa bavicha mmeichukulua hii ishu kusiasa zaidi kuongeza popular votes, ila nikasema MTAKUWA DISSAPPOINTED comes the 'end of this saga'!
Mjifunze kukubali msivyovipenda, na kama kweli ataongea kesho, mtamchukia huyu muitaliano!
Tusikimbiane hapa Mkuu, hii Barua ya Mzungu inapingana hata na maneno ya Makamba Mwenyewe. Jmakamba amekiri wazi kuwa alipokea pesa kwa ajili ya Mfuko wa Bumbuli kutoka kwa Tapeli muuza Madawa ya Kulevya bado wewe hauoni kama ni shida kwa Mheshimiwa? Tusubiri uje uandike tena hapa hayo maneno yako ya kuwaona kila mtu anayepishana mtizamo na wewe ni BAVICHA
 
Mtu alieidraft alikuwa Na haraka sana hehehe anamponza sasa mhe: anyway let's wait n see but this is KARMA January makamba wats goes around comes around
 
Muitaliano mbona unatuchanganya? Mwamvita kasema umempa fedha na akakiri kumpa kaka yake February sasa wewe inakuaje unakataa tena hapa mnatuchanganya ujue.
 
....duh...yani wabongo!!...inashangaza na kusikitisha sana kwamba wale wanaotuhumiwa huwa hawatoki kujiteteta dhidi ya tuhuma bali wanawatuma madalali wao kuja humu jf kuwatetea....ukiona hivi jua wahusika wameshikwa pabaya na huwa kuna ukweli dhidi ya tuhuma zao.....Angalau experience imetuonysha kwamba kila jambo linalopingwa kwa nguvu kwenye media huwa linakuwa kweli mwisho wa siku....

...huyo muitaliano tayari amekiri kuwa alikuwa na issues dhidi ya mwamvita...sasa watu wanapinga nini??...alafu ifike mahali wahusika watoke wao wenyewe wajibu shutuma dhidi yao.....kwani wakati wanaingia kwenye issues na huyo mzungu nani alikuwa nao humu???....so sad....
 
Kwahiyo muitaliano press conference ya kesho pale Hyatt umepostpone
 
Muwe mna acha umbea na ninyi!! Acheni wenyewe waende kwenye media watueleze ukweli
Unategemea nini kwamba muitaliano aseme ni kweli alitoa mlungula?na yeye si angekuwa lupango kwa kutoa rushwa?
 
Huyu the so called managing editor naye ni jipu tu inaonyesha anatumiwa,ukiangalia timeline ya matukio na hizo mails za muitaliano zilivyoletwa wala havina uhalisia,inaonyesha kila kitu kimepikwa ili kujaribu kumuosha mtuhumiwa....mbaya zaidi wamebugii steps maana mtuhumiwa amekubali tayari baadhi ya statements za muitaliano za awali kabla hajarudi na taarifa za kukanusha.Yaan aibu naona mimi hapa.
 
Kuna e mail inasambaa iliandikwa march 17 2015 na Dada ke January akishukuru na kumuahidi boss wa barrick kukutana na high ranking government officials na Januari ambaye atakuwa Next PM ili wamsaidie katika biashara zake.
 
Back
Top Bottom