Nicole Tumaini
Senior Member
- Aug 19, 2015
- 122
- 24
Mimi ninawashangaa sana wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Wao pamoja na Mwenyekiti wa Freeman Mbowe wamekua wakilalamika sana kua Serikali inaongozwa kama kichwa cha mwenda wazimu kwa sababu Wakurugenzi wa mashirika mbalimbali wametimuliwa na kuyaacha mashirika hayo kutokua na Wakurugenzi. Ila kikubwa jiulize, mbona wao wamekaa miezi 8 sasa hawana hata katibu mkuu? wao hawaoni kuwa hili ni tatizo kwa ustawi wa chama? au ndio yale ya nyani haoni kundule? Je ni kwamba hakuna anaefaaa kuwa Katibu mkuu?
My take: Toa kwanza boliti ndani ya jicho lako ili uone kibazi ndani ya jicho la mwenzako.
My take: Toa kwanza boliti ndani ya jicho lako ili uone kibazi ndani ya jicho la mwenzako.