sijajua mkuuhivi yule bi dada sumbodi ( f Mango) bado ni assistant wake eh?
Hii mechi mpaka dk hii Mange anaonekana kuongoza..Ngoja tuona kama Makamba's Family watasawazishaHuo mzani mbona kama umebeba hirizi
Haha ,hii ishu mpaka kesho kuna Mengi tu tutayajua tumsubirie Kimambi mwenyewe atoke Vegas kurudi LA amesema ataweka vizuri ushaidi wake
Haha nachompendea Mange ukimchokonoa tu ana details za ku back up tuhuma zake ,toka atoe picha sijui ya miaka 90 ya marehemu dada yake Hoyce ,nimemnyoshea mikonoHii mechi mpaka dk hii Mange anaonekana kuongoza..Ngoja tuona kama Makamba's Family watasawazisha
Huyu inaonekana ana wafuasi kila kona ndo wanaompa details..Na pengine ukute ni watu wa karibu wa hao watuhumiwa..Mange anachofanya ni kubeba fuko la mavi tu na kujilipuaHaha nachompendea Mange ukimchokonoa tu ana details za ku back up tuhuma zake ,toka atoe picha sijui ya miaka 90 ya marehemu dada yake Hoyce ,nimemnyoshea mikono
January has never been intelligent though ila mie naendelea kusoma. Ana haraka ya maisha dogo huyuWalipanic mno huyo mange watu walishampuuza sasa alivotoka kujibu bila kujipanga yeye na dadake ndo wakachochea moto. Si vtu vyote hutakiwa kukanushwa Mara moja ushauri wa wengine muhimu
Kwa ufupi ulitaka atoe maelezo ya uongo sio?.Nimemtaja yeye kama mhusika mkuu kutokana na nyazifa zake kisiasa, nafasi yake katika jamii na historia yake kwenye uwanja wa siasa na maamuzi mengi yaliyotokana na yeye...kwenye hii skendo iliyoko kwenye hatua za tuhuma yeye ndio muathirika mkuu...kwahiyo busara uvumilivu mkubwa akili iliyo sharp na werevu vilihitajika sana kipindi hiki
Hii ni vita yenye pande nyingi na wapambe wengi...mbinu bora zinahitajika ili kuweza kushinda vita
Vyovyote vile iwavyo kuna kufahamiana kwa karibu kati ya watatu hawa January Mwamvita na muitaliano na kwa vyovyote kulikuwa na makubaliano fulani fulani yaliyohusisha pesa nyingi (za rushwa?)ahadi za upendeleo kwenye mambo fulani nk nk
Kwa kulifahamu hili na zile tambo za bibie Kimange...kwamba ana lundo la ushahidi wa kila aina, Makamba hakupaswa kujibu lolote kwasasa...angekaa kimya akinote kila kitu yakiwemo malumbano ya mitandaoni, angesubiri walau kwa siku kadhaa aone kimange anajua kiasi gani
Kuwalipa haraka haraka vijana wa mtandaoni wakanushe kijinga kabisa na yeye kukimbilia kukanusha kumempa kimange credit moja kubwa sana
Kimange anajulikana alivyo mchokonozi na mdaku, hivyo mpaka jana jioni watu walikuwa hawamuamini kivile na hakukuwa na post nyingi...lakini baada tu ya watuhumiwa kuongea na kukiri baadhi ya mambo mjadala ukageuka mwelekeo na post zikaongezeka maradufu....!
Makamba kama kiongozi aliyekuwa msaidizi wa rais (nafasi kubwa sana hii) alipaswa kuwa na subra katika hili ili mihemko kwenye mitandao ipoe apate pa kuanzia
Bahati mbaya sana the guilty are afraid hiyo ni kanuni ya maisha...alipaniki kwa kuguswa pabaya bila maandalizi
Wakati ushahidi na ukweli ndio vitaleta mizania ya haki...lakini mpaka tutakapofika huko Makamba atakuwa sio huyu tena....!
Haki haitafutwi kwa mange kama yeye ana ushahidi wa hayo yote anapaswa kwenda kwenye vyombo husika ili kudai haki yake, mange ndio hakimu?? wabongo tuache ushabikiHii kitu kabla ya kukimbilia kwenye mitandao na kukanusha kizembe angewatafuta wanasheria na watu wengine wenye uelewa na uzoefu zaidi kumzidi wakae chini watafakari kwa pamoja....awe mkweli kwao wafuatilie mjadala kimya kimya kisha wajipange... lakini J akaona hili analimudu...!hakuna kitu kibaya kwenye maisha kama kudhani unajua kuliko wengine
Ndio maana yake sasa unafikria katika hali ya kawaida Mange hizo habari katoa wapi ,lazima kuna mastermind wa hii ishu nyuma yake ,ngoja kesho ifike tutaskia mengi ,Huyu inaonekana ana wafuasi kila kona ndo wanaompa details..Na pengine ukute ni watu wa karibu wa hao watuhumiwa..Mange anachofanya ni kubeba fuko la mavi tu na kujilipua
Ana cult ya die hard followers,hata kama hakujui,wao watam supply data zote-huyu si mtu wa kukwaruzana nae-atakuacha uchi. Issue hii ya makamba naona ni onyo kali kwa maadui zakeHuyu inaonekana ana wafuasi kila kona ndo wanaompa details..Na pengine ukute ni watu wa karibu wa hao watuhumiwa..Mange anachofanya ni kubeba fuko la mavi tu na kujilipua
Angewahi haraka mahakamani kabla Mange hajaendelea kuyatoa hayo makombora mengine aliyoyaahidi.
HamjaelewanaKuna uwezekano mkubwa mimi sijakuelewa au wewe hujanielewa
Mkuu, Kuna jipu la ikulu limetumbuliwa nina waraka wake hapa sema ngoja watupie kwanza maana hukawii kuambiwa umevuruga amani. Ila mtangaza wenzake nae tayari bado huyu dogo