Kiongozi mkubwa BAVICHA kujiunga na UVCCM kesho

Kiongozi mkubwa BAVICHA kujiunga na UVCCM kesho

Status
Not open for further replies.
Umeandika mambo meeengi ya kujifurahisha na kujipa moyo mwenyewe hivi huoni aibu. Jifunze kuwa na moyo mgumu kama chadema asilia kwa sababj tulishakubali matokeo zamani na tunajua tunakwenda kushindwa uchaguzi. Lakini kuvunjika kwa mpini sio mwisho wa uhunzi unajua.
Siai tumesha azimia kura zetu haziwezi potea bure., hatuwezi mpa fisadi ma group lake kamwe. Tutampa kura Magufuli na baada ya hapi tutanyooshana kwanzaaaa mpaka kunyooke. Baada ya hapo nadhani tutakuwa tumejifunza kitu fulani kikubwa.

Mimi nitampigia kura yangu ya thamani “EDWARD NGOYAI LOWASSA” pamoja na “Diwani na “Mbunge” wa UKAWA!!..Kwa maisha bora ya kwako na ya Kizazi chako Ondoa CCM,kwani imeishiwa pumzi na haiwezi tena kuleta Maendeleo kwa Wananchi wote!!!! “ALUTA Continua, Victoria Ascerta”.... “The Struggle Continues, Victory is Certain”; ...Mapambano yanaendelea, Ushindi unakuja!!
 
Sidhani kama ataweza kutikisa CDM/UKAWA ki-ujumla, UKAWA wamepita mabonde na milima wameweza atakuwa huyo katoto.
 
Mwache ajifariji UKAWA ni JIWE lililokataliwa na WAASHI nalo lilifanywa kuwa JIWE KUU la PEMBENI
 
Wamechoka sana hao....hivi mbona vyama kama Labour, Democratic, Republican , etc
sivisikii vikijitapa kwa kuwa na sera za kununua mamruki kutoka kwa mahasimu wao.../
Y...? haya mambo yawe Tanzania tu.

CCM wana hela za kuchezea kuhonga honga wakati wanatuaminisha nchi ni maskini. Hii nchi ina rasilimali nyingi. Lowassa anaposema Elimu bure inawezekana anamaanisha kwa vile anajua. Haya magari ya vita hela zimetoka wapi wakati huduma nyingi zimedorora? Tunaishi kny giza wkt gesi ipo na imeshaanza kufanya kazi lkn umeme hamna. Huyo Magufuli na Samia wanasema watafufua viwanda kwa umeme upi. Watawapa kila kijiji mil 50 watazitoa wapi? Hii ccm ya ajabu sn. Ahadi zile zile kila mwaka.
 
Last edited by a moderator:
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadai kuna kiongozi muandamizi wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) anategemea kujiengua katika Baraza hilo na kujiunga na Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)

Mpaka sasa bado haijawa confirmed kama kiongozi huyo atahama peke yake ama kutakuwa na wafuasi nyuma yake.

Kama Chadema haikuteteleka kwa kuondoka kwa yule daktari wa mihogo michelema ni UPUUZI kudhani kuwa Chadema itateteleka kwa kuondoka kwa huyo kupe mmoja.
 
Kwa wakati huu ata akiwa nani ajitoe watu awatamuwerewa .mfano alijitoa slaa na ndiye alikuwa anakubalika sana mwishoe wakamuhita dokta mihogo
 
Jamani mleta uziii una mamboo...eti kiongozi mkubwa Wa Bavichaaa nimeona Juliana Sinza kalikee..mbona nyie Ni wajingajinga iviiii!!sasa ndo nini icho ulichoandika..sasa akihama tumsaidie nini???
 
Walishindwa wala mihogo sembuse huyo kifaranga? teh teh tehe.....
 
Haya yote tunayoyaona yanatokea CDM ni kutokana na ukweli kwamba, viongozi wa juu wa CDM hawakuzishirikisha jumuiya zinazounda chama hicho na ndio maana tunaona sio tu hizi tetesi za kuhama viongozi wakubwa wa jumuiya hizo, bali pia ushiriki wa baadhi ya jumuiya za CDM katika kumuunga mkono mgombea urais zimekuwa za kusua sua mno. Mnyika na mdee watu amabao nilitegemea watampa sapoti EDO wapo nyuma sana hata majukwaani hawaonekani
 
Kwa wakati huu ata akiwa nani ajitoe watu awatamuwerewa .mfano alijitoa slaa na ndiye alikuwa anakubalika sana mwishoe wakamuhita dokta mihogo

Hilo la kujitoa siyo tatizo, ila wengine wapo katika chama lakini hatuoni ushiriki wao katika kampeni za mgombea urais, hata sijui hili linamaanisha nini
 
hapana sio bure kuna namna mbona kila kiongozi wa chadema ambaye anakijua chama vizuri anaondoka katika chama hicho, tunapaswa kutafakari kuna kitu kilichojificha nyuma ya pazia. chadem hivi sasa imekua ni chama cha mapinduzi, kila anaetoka chama cha mapinduzi ambae amekosa madaraka anahamia chadem alafu ndio anakua kifua mbele, wenye chadem mko wapi?
 
Ameshafika BEI???



Huyo anapishana na Mafuriko!!, ni lazima asombwe tu!!, la sivyo anakufa kifo cha mende, mlalo wa chaliii.


ilikua DR, Silaa, na Prof Lipumba, sembuse huyo Simbilisi>??
unapaswa utafakari, kwanini kila kiongozi makini anatoka ukawa na kila kiongozi ambae mwenye uchu wa madaraka amekatwa ccm anahamia ukawa, kutoka kwao kwa wewe kwa sababu unapingana na ukweli utaona hakuna shida lakini kwa mwenye uelewa na mtu makini atajiuliza kuna nini? naamini utafikiria
 
Too late to catch the train,atakuwa ni juliana shonza huyo na mwampamba

Hili linaeleweka, sisi wananchi tupo kama tumelewa jina la LOWASAA, ila siku zote ulevi ni nomaa, mang'amung'amu ya vilevi yakiisha unaanza kujuta na kujiuliza hivi ilikuwaje
 
Mbona mbinu hizo tulishazisikia na tunazijua?? Fumueni zile kubwa kubwa zaidi ili tuweze kuwaelewa mapema. It is too late now!!
Mioyoni mwa watu kumejaa jina moja tu LOWASAaaaaaaa. Jumapili asubuhi, Karatasi ya kwanza, ni kuchukua, angalia picha ya Lowasa, weka vema, kunja vizuri, tumbukiza kwenye box la rais. Angalia UKAWA chagua mbunge wa UKAWA na diwani wa UKAWA. Usisikilize maneno ingine. Kwenda kaa mita 200, ngojea matangazo
kuota usiku sio tatizo,ila kuota mchana ni tatizo. piga kura rudi nyumbani kusubiri matokeo, ignorance of law has no defence, rejea unlawful assembly kama unahakika ndoto yako ya kulinda kura inaweza kufanikiwa.
 
Mimi nitampigia kura yangu ya thamani "EDWARD NGOYAI LOWASSA" pamoja na "Diwani na "Mbunge" wa UKAWA!!..Kwa maisha bora ya kwako na ya Kizazi chako Ondoa CCM,kwani imeishiwa pumzi na haiwezi tena kuleta Maendeleo kwa Wananchi wote!!!! "ALUTA Continua, Victoria Ascerta".... "The Struggle Continues, Victory is Certain"; ...Mapambano yanaendelea, Ushindi unakuja!!

HAPA HAKUNA RAIS, HII NI INTERVIEW NA MWANSISHI WA HABARI,MANASEMA ANAONEWA, JE KWENYE MAKONGAMANO YA KIMATAIFA, ATATUTIA AIBU. TUACHE USHABIKI

https://www.youtube.com/watch?v=iyAPK6aLssg&feature=youtu.be
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom