Habarin za wikendi wanajamvi, mi sio mtu wa kuposti sana thread ila leo nimeona niombe ushauri au wazo kutoka kwenu wadau. I mean nimesajili company na taratibu zote za kuisajili zimeshamalizika na namshukuru Mungu BRELA majuzi hapa wamenipa CERTIFICATE OF INCORPORATION.
Ivyo bhas baada ya...
habarini ndugu zangu, nina kashughuli wikend ijayo so nilikuwa naomba kuuliza ni aina gani ya mashirt meupe classic, sehemu yanapouzwa na bei zake ili nikanunue au mnicontact pm na hao wauzaji ili nikiktokea next wik niwe fireeeeeeeeee abt bei msijari mi nahitaji kitu classic hata kikinyooshwa...
sema uwezo wako wa kuelewa ndio mdogo sio vijana wa kileo, lazima ujue ni aina gani ya maneno pakuongea na kwa wakati gani tusichukuliane pouwah we sema wapi hujaelewa tukueleweshe.
Wazee kwema???? kuna aliyetumiwa ujumbe kuhusu kuitwa kwa usaili dom tanesco km yupe ajeah pm ili tusepe wote j2 ili j3 tukisanue VETA dom asubuh na mapema
my furendi fx trading is a business and not a casino.
my take: kabla hujaingia kwenye hii business make sure u have enough knownledge about this trading and should ave trading trading
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.