Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,104
- 4,738
Yeswewe unafanya forex?
Yeswewe unafanya forex?
Mkuu unafanya binary option?Nimeingia. Nimetengeneza $500 kwenye live Friday. Ila nilikuwa bullish kwenye demo zaidi ya kwenye live nikatengeneza $5,000 kwenye demo.
Nilinyolewa vizuri sana miaka ya nyuma (financial crisis ya 2007-2010) nikawa magutu sana.
Si unajua ukiingia kichwa kichwa unanyolewa mpaka ngozi halafu unapoteza mpaka shati.
Hii wiki inayoanza between the FTSE 100 and the Aussie target kupiga angalau USD 5,000 in profit.
Of course mtu anaweza kulizwa $ 5,000. Ni kujiandaa kisaikolojia tu kabla. Na kuusoma mchezo.
Ama sivyo unaweza ku bet mpaka mkeo kama Mzee Suchak.
Nina elimu ya finance na mambo ya options, futures, arbitrage, bonds nk nayafahamu.......
Kuna risk kubwa sana. Watu waingie ila wajipange
Nami nimo kwenye hiyo biashara lakini my plan ni kwa mwaka kupata faida ya walau 1M ila si kama akina Ontario wanavyoenda
my furendi fx trading is a business and not a casino.Wewe kweli una ufahamu wowote kuhusu options?
my furendi fx trading is a business and not a casino.
my take: kabla hujaingia kwenye hii business make sure u have enough knownledge about this trading and should ave trading trading
Nothing fancy. It is stuff everybody know or should know.Mkuu unafanya binary option?
Wanna know your strategy if you wouldn't mind
Al-watan how was USDJPY pair trading today? I saw people made huge profits on Tokyo time.I just made a 50% profit on EUR/USD> 1.1200 by 11 PM US ET. Bought at 10 and sold at 15. Its going down and its not gonna hit that threshold in 40 minutes. If it does I left a lot of money on the table.
I'm using NADEX.
Al-watan how was USDJPY pair trading today? I saw people made huge profits on Tokyo time.
Halafu, which way do you frequently use in creation of signals, are you using news events to predict the price movement of an asset in the market or you just walk on technical analysis to get your signals?
Chart iko hapa USD/JPY - Live Rate, Forecast, News and Analysis
Yen ilianguka sana leo, imeanza kupanda kidogo tena lakini nafikiri that was an hourly rally naona inaanguka tena na nafikiri itaweza kupanda zaidi baadaye, tatizo ni kuchagua vizuri entry point. Ukikosea entry point tu unaweza kununua wakatiinashukaukaachwa na hasara.
Kufuatilia habari muhimu, Fed Chair Yellen leo kamove markets. Pia napendakuangaliaattractive risks ambazo ziko na low entry points ili kusudi hata kamarally inashindwa kupata moto kabisa, ukianzia 6/100 ukafika mpaka 12/100 kamaunafikiri hakuna movment ya maana unaweza kujump out ukawa usha double posoition yako, ukianzia 80/100 basically ku double kazi sana unless uchukue risk kubwa sana. Kufuatilia fundamentals za commodities prices, interest rates,political events, natural disasters etc kote ni muhimu.
Kiongozi acha wanyooshwe kwanza,hivi hivi hawataelewa.Nina elimu ya finance na mambo ya options, futures, arbitrage, bonds nk nayafahamu.......
Kuna risk kubwa sana. Watu waingie ila wajipange
Nami nimo kwenye hiyo biashara lakini my plan ni kwa mwaka kupata faida ya walau 1M ila si kama akina Ontario wanavyoenda
kama hayo ndio malengo yako kupata faida ya milion moja kwa mwaka bora ufanye issue zingine tuu mkuuNami nimo kwenye hiyo biashara lakini my plan ni kwa mwaka kupata faida ya walau 1M
Leo ukijipindua kidogo tu ku order position unayoona iko low ukasema niende msalani narudi baada ya dakika chache, unakuta position yako ishakubaliwa halapu USD/JPY imeshuka zaidi.Na kweli hapo kwenye entry point ndio pakuzingatia kabla hujaamua kuopen trade. Lakini napo tatizo ni kutambua kama pair unayo trade ina high liquidity ama low. Leo pair ya USDJPY liquidity yake ilikuwa juu sana kwa hiyo kwa yoyote aliye deal nayo hakupaswa kucheza mbali na PC au smartphone yake.
Basi wewe signals zako unazipata kwa fundamental analysis, na hiyo njia kwa kiasi Fulani mi naona ngumu sababu kuna matukio mengine ya kiuchumi yanashindwa kukupa prediction nzuri ya price movement
Leo ukijipindua kidogo tu ku order position unayoona iko low ukasema niende msalani narudi baada ya dakika chache, unakuta position yako ishakubaliwa halapu USD/JPY imeshuka zaidi.
Inabidi mpaka chooni unaenda na simu halafu una control mchezo. Kama una safari ya kuendesha gari kutoka kazini mpaka nyumbani kimbembe. Volatility kubwa sana.
Mchezo hu hautaki hasira.
Huyo jamaa kwa nilivyomsoma tu Maelezo yake hajui chochote kuhusaina na online foreign currency exchange wala hata hiyo elimu ya finance usikiute hana.kama hayo ndio malengo yako kupata faida ya milion moja kwa mwaka bora ufanye issue zingine tuu mkuu
Swadakta,Onyo usiweke pesa ambayo huna mpango wa kuipoteza.weka pesa ambayo unajua inaweza kuipoteza