Maandalizi ya usaili TRA.

Maandalizi ya usaili TRA.

Bado REGULATION ACT, TAX ADMNISTRATION ACT, INCOME TAX ACT Revised edition ya 2008 balaa tupu
Hivi Ant-money Laundering and Motorvehicle registration Act haisomwi?
 
Goodwin mungu akubariki sana katika hili,na katika zile nafasi 100 Allah akuwekee yako moja,inshaalah
Naomba na mimi nijumlishwe humu katika sala hii...Naomba tukutane ofisini siku moja tuakawatumikie watanzania katika kodi
 
Yeah, umefanya vizuri kweli kuleta soft copy ya hiki kitabu , yaani hapa wa customs & tax officer wasome tu hiki kitabu kina almost kila kitu kuhusu TAX.
Halafu msisahau kupitia na website ya TRA kucheki ACTS & LAWS
 
Ila UTUMISHI hawaaminiki unaweza kushangaa unaletewa maswali ya General knowledge 😀😀😀
 
Back
Top Bottom