Nickson Mjuni
Member
- Jul 10, 2016
- 47
- 25
Habarin za wikendi wanajamvi, mi sio mtu wa kuposti sana thread ila leo nimeona niombe ushauri au wazo kutoka kwenu wadau. I mean nimesajili company na taratibu zote za kuisajili zimeshamalizika na namshukuru Mungu BRELA majuzi hapa wamenipa CERTIFICATE OF INCORPORATION.
Ivyo bhas baada ya kupata io certificate ya kuitambua kampuni kusajiliwa wakaniambia sasa ukaendelee na procedure zingine ambazo km no ya mlipa kodi TIN NO na leseni ya biashara manispaa n.k ivo bhas nilikuwa naomba kuuliza wadau nikienda TRA kusajili no ya mlipakodi kwa ajili ya kampuni ili waweze kunikadiria kod ambayo natakiwa kulipa si watataka kuona return zangu au vitabu vyangu vya mahesabu, may be ili wajue kiasi gani naingizia per year likeFinancial statement ie. (statement of comprehensive, statement of financial position,statement of changes in owner equity na statement of cashflow) na bank statement may be. so nilikuwa naomba hapo itakuwaje wakati ndo kwanza nataka kuoperate ndugu zangu namm nataka kuwa officially naopertae comply with laws,regulation na rules ktk kuendesha kampuni.
ili nijue nifanyaje tax planning apo
kampuni yenyewe inatakuwa na deal usafi kwa kuanzia kwenye garden,apartment na oficin nk