Ushauri kuhusu kununua gari mark x,brevis,crown na mark ii grand

Nickson Mjuni

Member
Jul 10, 2016
47
26
Mambo vp wadau mimi ni mmoja ninayoyakubali ayo magari kwa kiasi chake kwa kuanzia lyf bazeee, sasa nilikuwa naomba ushauri kuhusu ubanaji wa mafuta,spare,uimara,upatikanaji wa spare wake n.k
nategemea ntapata mrejesho mzuri ndugu zangu ili ninaponunua nisije nikajilaumu.
 
Nunua crown ni gari nzuri sana, ya heshima pia mark X na crown ni injini aina moja V6 lkn crown Yakibabe zaidi ukubwa wa injini zake ni CC:2490. ......Ulaji wa mafuta mzuri sana achana na maneno ya mitaani. Mm namiliki crown hautajutia MZEE.
aab384fd161d74bb059d44cc5570e87e.jpg
 
Hizi zote ni mark II

I agree with you.
 
Cheki na skyline hiyo pia....
 
Attachments

  • BF618378_984e08.jpeg
    BF618378_984e08.jpeg
    29.2 KB · Views: 272
  • BF625826_0983a4.jpeg
    BF625826_0983a4.jpeg
    42.3 KB · Views: 257
  • BF625826_447a3f.jpeg
    BF625826_447a3f.jpeg
    39.8 KB · Views: 256
MASHINE NI VEROSA,CC 2490, ENGINEEN JZX,
INACHANGANYA FASTA

HAISUMBUI

Haina tofauti na CROWN,UKITAKAJUA SIRI YA VEROSSA INGIA YOUTUBE ONA MADEVA MAARUFU DUNIANA WANAVYO ISIFIA,
 
Nunua crown ni gari nzuri sana, ya heshima pia mark X na crown ni injini aina moja V6 lkn crown Yakibabe zaidi ukubwa wa injini zake ni CC:2490. ......Ulaji wa mafuta mzuri sana achana na maneno ya mitaani. Mm namiliki crown hautajutia MZEE.
aab384fd161d74bb059d44cc5570e87e.jpg
pamoja sana nduguuu
 
wakuu mnajua kuhusu Lexus GS? bei yake ngapi?
pia mmi binafsi nilishawahi kuwa na brevis na crown. Niliipendq Brevis zaidi naona crown ya mjini. Brevis nimeenda nayo mkoa iko bomba mbayaaa.
 
MASHINE NI VEROSA,CC 2490, ENGINEEN JZX,
INACHANGANYA FASTA

HAISUMBUI

Haina tofauti na CROWN,UKITAKAJUA SIRI YA VEROSSA INGIA YOUTUBE ONA MADEVA MAARUFU DUNIANA WANAVYO ISIFIA,
Hizo za youtube ni verosa vr25 sio hizi za kibongo bongo huku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom