Recent content by ngwilla

  1. N

    adhabu gani huendana na kunyanyasa watoto?

    wasalaam! mwenye uelewa juu ya adhabu inayoweza kutolewa kama mtu kamnyanyasa mtoto kwa kupiga na kuacha makovu ama ya kufinya au viboko. nawasilisha kwa upole.
  2. N

    Leo tarehe 23 May 2017 sitoisahau.. Yani hapa nanuka pesa tuu!!

    sidhani kama Kodi ya asilimia 18 ya 109 mil ni 9 million.
  3. N

    Gharama kwa ufupi Karatu high school ni kiasi gani? Admision form five

    Naomba kujuzwa makadirio ya gharama kwa mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya karatu. Mdogo wangu amechaguliwa huko, roughly tuandae sh ngapi ikiwa safari itaanzia mbeya mbarali? Alale Arusha au Babati mana atapitia Dodoma-Singida.
  4. N

    Taratibu za kuomba uhamisho shule uliopangiwa form 5

    Watahamisha ila baada ya kusajilwa nakusoma walau muhula. Uhamisho upo daima, huwezi zuia binadam asihame wakati kiasilia kuhama nikutafuta nafuu ya matatizo n.k. Wamekataa mwanafunz eti aje na taarif za uhamisho wakat wa kuripot au ktk kipind hicho cha admision mtu anataka kuhama. Pengine mwez...
  5. N

    Madaraja ya walimu yanapanda kwa utaratibu gani?

    Onana na afisa tsd au afisa utumishi wanamajibu ya uhakika. Lazima ufuatilie kama umo kwenye mpango wa waliopanda au watakaopanda mwaka huu,halmashaur zngine watumish wa ajira 2013 wamepewa barua za kupanda tayar.kama ulihama au ulienda masomon hilo ni tatizo la kucheleweshwa kupanda.
  6. N

    Mikopo ya BAYPORT

    ogopa kama ukoma baypot.
  7. N

    Najuta kupiga kura 2015, sitokaa nipige kura tena

    si kila kura lazima ikupe ushindi labda itumike nadharia ya savimbi. wengi wanaolalama kutokupiga kura hawajawahi piga kura mbali na mwaka huu. mbona ruzuku ya chama chako itaongezeka kupitia kura unayosema haijafanya kitu,kura za wabunge mmemwagiwa viti...
  8. N

    Watanzania tunamsifia Magufuli kwa kuvamia maofisini?

    labda ndg mwandish humjui vizuri mh. rais, pia ni haki yako kutumia uhuru wa mawazo ikiwa ni matunda ya rais mstaafu j.m.kikwete. rais kukagua taasisi zake ni kuvamia? nan kajeruhiwa katka uvamiz huo? mama ntilie na bodaboda unaowasemea kua wanatabika ndo waliompa kura kibao mh...
  9. N

    Miaka 40 ndiyo kikomo cha tawala za wanadamu na vyama vyao, CCM hawawezi kuvuka hapo

    Mbona mmekua mkihubiri kuwa ccm imetawala nusu karne? kwakweli ni mkanganyo! simamieni moja likaeleweka.
  10. N

    Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    kweli tuna watz wanaoandka vimaneno vya aibu kwa kutaka sifa au wanachambua mambo seriously? kwa nini kukumbatia roho za uovu tu? kweli unamtakia kiongoz kushindwa ktk kazi ya nchi tuishiyo? labda wanaotoa maoni ya namna hii hawaishi nchini ama si watz! maendeleo ya tz hayahitaji...
  11. N

    GE2015 Jimbo La Bukoba mjini mmefanya makosa makubwa kumuondoa Sued Kagasheki

    Mungu amlinde kwa aliyoyafanya kwa wananchi, tuendelee kumwomba mungu juu ya lwakatare atende zaidi ya yalotendeka maana watu wanaongezeka,mahtaji nayo pia kadir ya muda uendao mbele.
  12. N

    Fununu Fununu za Freeman Mbowe kuwa PM

    elimu yake huyo unaemnadi ni ipi?
  13. N

    Viongozi wa UKAWA mnastahili kifungo cha Maisha

    Tuliambiwa lubuva ni shemejiye lowasa, hvyo asingemtupa lowasa kumtangaza mshnd,tuliambiwa lowasa na chizi ni watalam wa wizi wa kura kwan walifanya hvyo walipokua ccm sasa wakiwa ukawa ushnd njenje,pia mwamnyange eti alikataa kuunga mkono upande wa ccm kama wangeanguka ktk uchaguzi,hili...
  14. N

    Rais Kikwete atangaza Novemba 5, 2015, kuwa siku ya mapumziko

    kweli ameona vyema,wananchi tunahaki ya kumpokea rais wetu, mungu tulindie magufuli, tupe amani na maendeleo kupitia kiongozi huyu ulietupa.
  15. N

    Atakayeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini

    Watanzania tulomchagua magufuli tumedhamiria kushirikiana nae kujiletea maendleo si kupewa hela na mtu flani, kweli ugumu wa maisha hautampata mbowe,tundulisu kwan walishapewa hela za kutosha na lowasa kwa kumpokea lowasa, pia ugumu hautampata lowasa kwa kua ni mwekezaj mkubwa mweny hstoria ya...
Back
Top Bottom