Extraordinary circumstances need extraordinary measures.
Naelekea kukufananisha na ng'ombe akili yako.
Bila kufika muhimbili angejuaje kuwa kunawagonjwa hawajapata matibabu zaid ya miez miwili?
Angejuaje kama hakuna vifaa kwaajili ya vipimo?
Angejuaje kuwa wafanyakaz wa hazina wanaenda kunywa chai zaid ya masaa 3?
Acha unafik wa kijinga kama inakukera jinyonge utupunguzie idadi ya wajinga
Yaani kwa kweli mi ninapoangalia hali ya uchumi wa Tanzania, maisha duni ya wafanyakazi, ukisefu wa ajira ukosefu, wa maji safi ni salama karibia nchi nzima!
Namshangaa sana mtu anayemshabikia Mr Pombe kutembea na vyombo vya habari kwenye maofisi!
Kwanza jiulize huko kote alikovamia amehoreshaje mazingira ya utendaji wa wafanyakazi ili kuwapa morally ya kufanya kazi?
Hizi sio zama za dictatorship style ni zama za democratic leadership ambapo ku win minds za wafanyakazi ni kuwatendea vile inavyopasa na sio kuwakimbiza na viboko.
Tanzania tunahitaji kuona wanafunzi wa vyuo vikuu wanapata mikopo yao kwa ufasaha na kwa utoshelevu.
Tunahitaji kuona wafanya biashara wadogowadogo wakiboreshewa mazingira ya kazi..mfano mama ntilie na bodaboda na machinga,
Tunahitaji kuona wakulima ambao ndo uhai wa Taifa wakiboreshewa zana za kilimo na mbolea.
Tunahitaji kuona michakato ya viwanda ikianza.
Tunahitaji kuona waalimu wakiimarishiwa mishahara yao pamoja na kulipwa malimbikizi yao.
Tunahitaji kuona jiji la Dar likiokolewa kuondoka na uchafu unaosababisha vifo vya watanzania kila kukicha.
Nina mengi sana lakini ngoja nitulie kwanza, hebu jiulize vijana hawana ajira iko wapi mikakati ya viwanda?
Huko Muhimbili mkurugenzi anasimamishwa kazi wakati tunaona madactari wanagoma kwa mishahara duni iko wapi mikakati ya kuwaboreshea mishahara yao ili kuwapa ari ya kufanya kazi?
Mi nadhani cha kufanya kwa sasa kuboresha kwanza mazingira ya kazi alafu kazi ya usimamizi itakua nyepesi.
" Ukitaka Punda akubebee mzigo vizuri bila kipigo mpe majani na maji ashibe"
Hapohapo alipoanzia ameboresha vipi mahitaji y wafanyakazi ili wawe na ari?

Huwezi kuongeza maslahi bila kwanza kuongeza ufanisi na kuongeza uzalishaji ambao utaongeza mapato ambayo kwayo ndio utaboresha maslahiYaani kwa kweli mi ninapoangalia hali ya uchumi wa Tanzania, maisha duni ya wafanyakazi, ukisefu wa ajira ukosefu, wa maji safi ni salama karibia nchi nzima!
Namshangaa sana mtu anayemshabikia Mr Pombe kutembea na vyombo vya habari kwenye maofisi!
Kwanza jiulize huko kote alikovamia amehoreshaje mazingira ya utendaji wa wafanyakazi ili kuwapa morally ya kufanya kazi?
Hizi sio zama za dictatorship style ni zama za democratic leadership ambapo ku win minds za wafanyakazi ni kuwatendea vile inavyopasa na sio kuwakimbiza na viboko.
Tanzania tunahitaji kuona wanafunzi wa vyuo vikuu wanapata mikopo yao kwa ufasaha na kwa utoshelevu.
Tunahitaji kuona wafanya biashara wadogowadogo wakiboreshewa mazingira ya kazi..mfano mama ntilie na bodaboda na machinga,
Tunahitaji kuona wakulima ambao ndo uhai wa Taifa wakiboreshewa zana za kilimo na mbolea.
Tunahitaji kuona michakato ya viwanda ikianza.
Tunahitaji kuona waalimu wakiimarishiwa mishahara yao pamoja na kulipwa malimbikizi yao.
Tunahitaji kuona jiji la Dar likiokolewa kuondoka na uchafu unaosababisha vifo vya watanzania kila kukicha.
Nina mengi sana lakini ngoja nitulie kwanza, hebu jiulize vijana hawana ajira iko wapi mikakati ya viwanda?
Huko Muhimbili mkurugenzi anasimamishwa kazi wakati tunaona madactari wanagoma kwa mishahara duni iko wapi mikakati ya kuwaboreshea mishahara yao ili kuwapa ari ya kufanya kazi?
Mi nadhani cha kufanya kwa sasa kuboresha kwanza mazingira ya kazi alafu kazi ya usimamizi itakua nyepesi.
" Ukitaka Punda akubebee mzigo vizuri bila kipigo mpe majani na maji ashibe"
mkuu nipe maana hapo
Hapohapo alipoanzia ameboresha vipi mahitaji y wafanyakazi ili wawe na ari?
Taatizo ni kwamba uliyemtegemea uje umsifie, kadoda, that's why you are coming here negatively