Fununu Fununu za Freeman Mbowe kuwa PM

Fununu Fununu za Freeman Mbowe kuwa PM

Hapa kazi tuu ukishindwa pita hivi.... Mpaka mjitambue kama watu wa k/njaro na Arusha
 
Wadau kuna intel nimeipata muda sio mrefu mpaka nimeshtuka hapa sina raha kabisa. Kwamba JPM anatarajia kuwasilisha jina la Freeman Mbowe kwa katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefua likiwa ndio jina pendekezwa la WAZIRI MKUU mtarajiwa hii ikiwa ni katika ule mchakato wa kuitisha bunge la jamuhuri ya muungano la November 17. Hii sasa mbona ni zaidi ya HAPA KAZI TU. Huyu tinga tinga atatuuwa kwa presha sasa.

stupid!
 
Haaa jamani mmesahau kuwa imesemwa kaskazini haiwezi kutoa kiongozi wa ngazi ya juu wa nchi?
 
PM kivuli( shadow PM). Amemshauri Mbowe aendelee na hiyo nafasi.
 
Kwa nchi hii kila kitu kinajulikana licha ya katiba inasemaje.Rejea swala la mita 200 lipo kikatiba lakini serikali ikatengua.
 
Wadau kuna intel nimeipata muda sio mrefu mpaka nimeshtuka hapa sina raha kabisa. Kwamba JPM anatarajia kuwasilisha jina la Freeman Mbowe kwa katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefua likiwa ndio jina pendekezwa la WAZIRI MKUU mtarajiwa hii ikiwa ni katika ule mchakato wa kuitisha bunge la jamuhuri ya muungano la November 17. Hii sasa mbona ni zaidi ya HAPA KAZI TU. Huyu tinga tinga atatuuwa kwa presha sasa.
Nyie ndio mnashusha hadhi ya JamiiForums.
Waziri Mkuu lazima atoke chama chenye majority bungeni, ambayo ni CCM.
 
Last edited by a moderator:
Serikali ya umoja wa kitaifa kwa lipi hilo wakati huu?Acha ndoto za mchana.
 
Back
Top Bottom