Recent content by Ng'wananshoma

  1. N

    JamiiForums Tanzania wanaume tu ndo wasome hapa........

    Weeee soma tena huo uzi, haujaelewa alichomaanisha.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure: A. Mahimbo afunge ndoa na Rose Kamili ili kupunguza machungu ya ujane na upweke

    Hivi jamani naomba mnijuze Mahimbo ana title gani?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kwa haya kutokana na kukamatwa kwa Mbowe, Dr. Slaa na Lema!

    .Hey acha mambo yako hayo, kalale huna jipya
  4. N

    JamiiForums Tanzania John Mnyika amuita Rais Kikwete dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge

    Wembe ni ule le Mnyika, hakuna kufuta kauli tuone itakuwaje
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa John Mnyika: What is Plan C

    Kaka hawa watu wamekusudia, kwanini iwe MWANZA, MBEYA, NA ARUSHA TU, au kwa sababu CCM hawakupata kura huko?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Jengo la mahakama ya rufaa lauzwa kwa kempisky hotel?

    Hii nimeipenda
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tuntemeke Sanga: Mbunge aliyekuwa na elimu ya Shahada 7, aliyechachafya miaka ya zamani

    Acha uongo, alikuwa mbunge toka bunge linafanyikia Karimjee hall, hivyo aliingiaje bungeni kama alichimbwa mkwara wa kutokufika Dar?.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Chadema kuandamana nchi nzima tarehe 16, kuupinga muswada......!

    Acha longongo we ndugu, vuguvugu za siasa zinaanzia vyuoni ndugu yangu, kina ZITTO, MDEE, EMANUEL NCHIMBI, na wengine wengi, segele wameanza nalo toka wakiwa wanafunzi wa vyuo, leo ndiyo wanaosikika na kutawala kurasa za mbele za magazeti, kuwa makini.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Sugu na Koffi Anan

    Ulisemalo ni kweli, what ever the case,Sugu ni mbunge wa mbeya mjini na anaaminiwa na wapiga kura wake, MENGINE YOTE NI WIVU TU
  10. N

    JamiiForums Tanzania Binti wa Mzindakaya amkashifu Dr. Slaa kwenye facebook

    Bint tuliza boli,muda wa wewe na baba yenu wa kutesa umeshakwisha hata kama utajikomba vipi haisaidii, Omba kazi TIB( Tanzania Investment Bank) yawezekana wakakupangia kazi kwenye kiwanda cha nyama cha baba yako pale Swanga ili umsitiri baba ako,maana kiwanda kipo chini ya TIB ili kidhibiti...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Meseji hii ilinishtua sana!

    Loooo kaka hiyo siku baada ya kupata hiyo meseji kwa kweli hata mimi nilichanganyikiwa,ilibidi nipige simu kuhakiki kama kweli MWAKA ana hali ambayo sio ya kupona,maana kuna rafiki yangu anaitwa MWAKA, na kweli huwa ni dereva, hivyo nilifahamu kuwa lazima amepata ajari,mbaya zaidi sipo TZ nipo...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Miss rwanda 2010 grace bahati is stunning…!!!

    Looo bora wakubwa woote wafe ili nasisi watoto tufaidi, kwa kweli huyu dada yuko kitoko(mzuri saana.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tido Mhando atemwa TBC

    Ndiyo maana yake
  14. N

    JamiiForums Tanzania Zitto ahusishwa na Rostam Aziz - Mwana Halisi

    Muache ajaribu ufisadi labda na yeye utamlipa.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Zitto arudishiwa uongozi wa Bunge na CHADEMA, wamtambua Kikwete

    Yote ni kheri tu
Back
Top Bottom