Form 4 siyo sababu kabisa! kwani lugha haihitaji hiyo form 4 unayosema. Kuna form 2 kibao wanaoongea kiinengereza,mie nilianzia primary.
So nadhani changia hoja tu kama una la kusema na siyo kuvuana nguo unnecessarily. Unajua baada ya kumaliza form 4 sugu alisoma nini tena? Unataka tuamini kuwa sug anakaa kwenu au shule na vyuo vyote njia iko kiwanjani kwenu so kwa kuwa hujamwona sugu akipita the hajaendelea kusoma? Tuongee hoja za kujenga siyo hizi za nani ana nini nani amevaaje,nani amekulaje... Tubadilike!!!!!!!!!!!!!!!