Miss rwanda 2010 grace bahati is stunning…!!!

Mzuri lakini kwa uzuri wa kinyarwanda huyu si mkali sana. Wabongo wengi pia wanamuacha mbali sana.
 
Jamani mbona wakawaida sana............je mnge mwona SUZY WANGU!

sindio mngetamani kuuza hata hizo zakujenga wenyewe...........
 
Wakuu. Natofautiana nanyi,dont be carried away na picha.
This lady is good lakini kwa vidosho wetu wa kibongo hafui dafu.
Nywele si standard
Cheki mikono ka mbu
Mapaja yanaonekana kuwa ok lakini haya uwiano na body structure
Asimame basi ,sina uhalika kama ana fig. 8,anaweza luwa na fig A.
Hajafikia wabongo ,mie napima
Na ndo maana yule mwanandinga wao maarufu, Kataut alimzimia mdada wetu huku Bongo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom