Recent content by Ng'wamagigisi

  1. N

    Ubeberu wa bodi ya mikopo

    Toka Bodi ya Mikopo ianze shughuli ya kukusanya mikopo yake iliyotoa imekua ikichukua fixed amount kati ya Sh.10,000 na 30,000 ya basic salary ya waajiriwa wote. Saizi imetoa maelekezo kwa waajiri wote kuwa kuanzia mwezi Oktoba,2012 waajiri wote wawakilishe 8% ya basic salary za waajiriwa wote...
  2. N

    Uv-CCM kuongoza sekretariet mpya ya NEC kiaina

    Hawa jamaa wao wenyewe wanamigongano huko uv.... Wakihamia ukubwani si patakua balaa zaidi. Kweli hii chama yaenda kufwa.
  3. N

    Wilson Mukama: Public and Private Profile

    M/kiti nae ajiuzuru
  4. N

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Sijaona cha kupongeza mtu hapo. Naye angejiuzulu uenyekiti na kuruhusu mchakato wa policy ndani ya chama kutoa ulazima wa rais kuwa m/kiti angestahili pongezi zangu. Hapo tunazugana tu. Nungunungu akimwagiwa maji hawi paka. Atabaki nungunungu tu.
  5. N

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Chama bado kitakua hovyo mpaka m/kiti aliyepo ang'olewe. Secretariati ni chombo cha kuwasilisha matakwa ya m/kiti tu, hawana kazi ya ziada. M/kiti atoke aje mwenye ajuae kazi na matakwa ya wananchi
  6. N

    Makamba atakuwa nani??

    Akawe "Mratibu Mkuu wa Safari za Loliondo kwa Babu"
  7. N

    Wikileaks: US... Role in Liyumba Case Exposed

    DOI ni changa la macho kama PCCB tu. Kama wako ki ukweli wafatilie ishu ya DOWANS na kufanikisha kuweka watu ndani.
  8. N

    Ninayoyaona Kigali

    What is happening in Kigali is innevitable. Wacheni Kagame aiweke nchi sawa kwa sera zake. Anafanya mengi sana Rwanda kimaendeleo, kiuchumi na kijamii. Wanajeshi mitaani na inteligensia kuzagaa ni nyenzo yake. Muhimu Warwanda wanaridhika na hawashtushwi. Km wewe hufurahii rudi kwenu bongo...
  9. N

    Hatimaye Mubarak aachia ngazi!

    This marks the continuation of the long sought out rebelation of African. Hope the spirit spreds southwards & starts with sisiemuu
  10. N

    Egypt new power sharing proposal/discussion

    Nakubaliana na mtoto mzuri kwamba waundao serikali ya mpito na kuongoza marekebisho wasiwe na nafasi ya kugombea kwenye uchaguzi ujao. Wanahitaji watu wenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko na muundo mpya wa utawala. Wasiokua na malengo binafsi ambayo yamaweza athiri "objectivity" yao...
  11. N

    Atakayeshika dola egypt ikiwa mubarak ataachia ngazi leo

    Wa-Egypt wanaita siku ya leo kuwa ni "Mubarak Departure Day". Lakini sielewi kama kuna mtu ambaye amekubalika na wananchi, wapinzani wote au bunge (kama lipo na lina uwezo) kushika dola!! Ikiwa hayo makubaliano hayapo ni nani atakayeshika dola?!! Nafahamu kuwa Mohamed ElBaradei anapendelewa na...
  12. N

    Mubarak's Day of Departure Friday 4, 2011

    Kwakweli mimi ningependa huyo Mubarak angekua kashaondoka toka juzi. Naamini Egypt kuna watu wanaoweza kuingoza hiyo nchi vizuri, lakini ikiwa Mubarak ataachia madaraka leo, kuna yeyote mwenye wazo ni nani atachukua dola na kuongoza nchi?!! Kama kuna tetesi za makubalino ya wa-Egypt tafadhali...
  13. N

    American voice greater than Egytians'!!

    Dah, kweli viongozi wa Afrika ma-pupets. Wananchi wameandamana kwa siku kadhaa Dunia nzima kupaza sauti zao zisikike. Wengine zaidi ya 100 wakapoteza maisha yao wakipaza sauti. Maelfu wameacha familia zao na kwenda kupaza sauti. Majengo na mali zimeharibika katika upazaji wa sauti. Cha...
  14. N

    Mubark addresses the nation thru state tv!

    Watu wanataka usepe we waleta story za uchaguzi ujao. Afrika tunachagua au twapanga mistari tu?! Jamaa inabidi asepe tu na wenzie kama yeye watiemaji nywele tu maana zamu zao zaja. Mkwere lazima kashadondoka huko saizi.
Back
Top Bottom