Ubeberu wa bodi ya mikopo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubeberu wa bodi ya mikopo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ng'wamagigisi, Oct 23, 2012.

 1. N

  Ng'wamagigisi Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Toka Bodi ya Mikopo ianze shughuli ya kukusanya mikopo yake iliyotoa imekua ikichukua fixed amount kati ya Sh.10,000 na 30,000 ya basic salary ya waajiriwa wote. Saizi imetoa maelekezo kwa waajiri wote kuwa kuanzia mwezi Oktoba,2012 waajiri wote wawakilishe 8% ya basic salary za waajiriwa wote wenye mikopo HESLB. Kwanza sielewi huu uamuzi umejadiliwa wapi mpaka ukapitishwa, pili ni kwanini wanafanya mabadiliko kama haya kimya kimya tatu hivi kweli na mishahara yetu ya kibongo bongo ambayo inakatwa PAYE, NSSF/PPF, Skill Development Levy etc uongeze na 8% ya hawa jamaa kwei tutabaki na nini. Huku kama sio kulazimisha watumishi hasa wa serikali na mashirika ya umma kuongeza viwango vya rushwa wanazotaka ni nini...km serikali imeishiwa pesa na mawazo ya kubuni njia sahihi zisizo za kibeberu za kupata pesa kwanini wasiombe mawazo ya wananchi??!!
   
 2. m

  mdunya JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 765
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  lipeni bwana! Aaaargh hata ingekuwa laki moja
   
 3. N

  NEEMA MWAIPUNGU Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lipeni jaman na sisi 2some nafuu nyie sisi ndo tuna hemea mipila kabisa
   
 4. WamLola

  WamLola JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 346
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  toeni pesa za uma na wengine wasaidiwe sisi sote ni watanzania:A S angry:
   
 5. Jangakuu

  Jangakuu JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  kaka usikurupuke au mwenzetu ,ndiyo wale wale(familia za kifisadi) mimi mshahara wangu basic yake ni 420,000/=

  420,000/= - PAYE (54600TSH)
  - NSSF (42,000 TSH.)
  -Chama cha wafanyakazi(12600 TSH)
  - Skill Development levy(8400)
  -(8%) Loan board.(33600 TSH.)
  Balance:268800TSH

  unga NUSU 500 x30 kwa mwezi=15000/=
  sukari kilomoja 2000x5 kwa mwezi= 10000
  Nauri daladala kwa mwezi 30000/=
  matumizi madogo madogo ya nyumbani 5000x30 = 150,000
  chumba mabibo mwisho (viwili) kwa mwezi 70,000 /=
  Umeme kuchangia kwa mwezi 10,000/=
  mtoto wangu anasoma shule ya kata , kwa mwenzi 1000x30 = 30,000/=

  Matumizi yote ni 315,000/=


  (Balance -matumizi yote) = 268800 - 315,000= -46200 TSH

  Jamani hii pesa (-46200 TSH) naitoa wapi.

  Halafu mkuu Mdunya unataka tukatwe laki moja na loan board?
   
 6. MMAHE

  MMAHE JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 831
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  chenji za mafisadi zikirudishwa na mm nitalipa.
   
 7. Jangakuu

  Jangakuu JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33

  vip Neema ,nakumbuka ulikuwa unatafuta ada ya shule vip ulishapata? ongera kama ulipata masomo mema.
   
 8. Loraa sum's

  Loraa sum's JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 259
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 60
  jaman hii pesa inaitwa mkopo co pesa ya bure kwa hyo lazma 2lipe2 wanavyotaka wao kwa sababu 2mekubali kukopeshwa
   
 9. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kukopa mmmmmmmmm kulipa matanga,lipeni na wengine wasome, kama mnataka za mafisadi si uende ukamuombe na kama unahasira zaidi jiue au muue fisadi.
   
 10. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 3,496
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  sadaka namichango ya kijamii umeiacha wapi?
   
 11. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  mbona wengine hiyo 8% tumeanza kukatwa toka 2010? kula joto ya jiwe, walikuwa wamekulia pozi kwanza.
   
 12. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,223
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Halafu ukienda ofisini kwao hadi mfagizi amepaki Rav 4! Haya majamaa yana maamuzi ya kukurupuka kweli! Mkuu hapo kwenye makato sijaona NHIF achiliambali michango ya harusi!
   
 13. m

  mdunya JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 765
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mkuu Jangakuu, usitegemee mshahara kufanya kila kitu. Lazima uwe na vyanzo vingine. Hata wanaolipwa 1 mil anaweza kuainisha haya yote na pesa ikaisha. Miradi mkuu!
   
 14. m

  mdunya JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 765
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Michango ya harusi na sadaka mnatoa, kwa nini msilipe ili taifa lisomeshe wengine? Acheni ubinafsi.
   
 15. Jangakuu

  Jangakuu JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  mkuu, sio kama hatutaki kufanya biashara tatizo mitaji mkuu , mishaara ni midogo mkuu, hauna hata cha kusave pesa yote inaishia kwenye matumizi ya kawaida mkuu.
   
 16. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Aisee! Kwahiyo bajeti yako sioni hata pesa ya tubia tuwili kwa siku. Pole sana kamanda
   
 17. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  mimi namalizzzza mwaka wa tatu na sijalipiwa na hako ka bodi kenu kalininyima nikajipiga piga plus wazazi ikawa poa NYIE TOENI ELAAAAA HATA LAKI TATU
   
 18. M

  Manmud Member

  #18
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 27, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kukopeshwa rahaaaaa lakini kulipa tunalalamika....ebu lipen izo pesa
   
 19. M

  Mubhende Member

  #19
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nasikitika kwamba katka janvi hili bado kuna mafisadi ambao hawataki kulipa mkopo wa Bodi ili nasi tupate kukopeshwa,huu ni ufisadi. hivyo hata huyu mkuu aliyeleta hii mada hapa naye ni fisadi.Tena mkopo wenyewe unalipa kwa % yaan salary ikiwa kubwa unakatwa amount kubwa na ikiwa ndogo unakatwa amount kidogo.Lipeni mkopo bwana sio vizuri kukwepa.
   
 20. m

  mdunya JF-Expert Member

  #20
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 765
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ujasiriamali mtaji ni akili yako na si pesa. Azam ni kampuni tajiri sababu ya akili na si pesa.
   
Loading...