Egypt new power sharing proposal/discussion | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Egypt new power sharing proposal/discussion

Discussion in 'International Forum' started by m_kishuri, Feb 7, 2011.

 1. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wakuu, proposal mbalimbali zimekwishapitiwa ili kujadiliwa na kupasishwa kwa serikali ya mpito nchini Misri.Lengo hasa ni to open up the country's electoral system ili uchaguzi uwe wa haki kwa wote.

  Mubarak:
  Stay in Office (Ceremonial role only)

  Government: Keep the Current Parliament

  Reforms: Reform constitution to ensure free and fair elections this Fall

  Muslim Brotherhood is IN the process (negotiation)

  Prosecution: Prosecute those responsible for attacks, and former ministers and party people suspected of corruption

  Noteworthy: Rulling troika of Mubarak, Mr. Omar Suleiman and Prime Minister Ahmed Shafiq .

  * My take: Kweli siasa ni mchezo mchafu. Mubarak, U.S na EU walikuwa wanasema kwamba sababu kubwa ya kumsupport Mubarak na wafalme wengine ndani ya Ghuba ya Uajemi ilikuwa ni kuzuia the Jihadist na vikundi vingine vyenye siasa kali kuchukuwa madaraka. Lakini leo hali ya Egpyt imewalizimisha wote kubadilisha mawazo yao. Takribani miaka 83 tangu kuundwa kwa Muslim brotherhood (Created in 1928) ndio wanaalikwa kwenye majadiliano ya mustakabali wa nchi yao.
   
 2. Mtoto mzuri

  Mtoto mzuri Member

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bila shaka wataafikiana. lakini tujiulize kwanini serikali za umoja kuelekea uchaguzi? serikali ya mpito mara nyingi inaweza kufanya kazi vizuri ikiwa watakaogombea hawatakuwemo katika uongozi wa mpito. hiyo ndiyo itakuwa serikali ya mpito yenye kutenda haki!:roll:
   
 3. N

  Ng'wamagigisi Member

  #3
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na mtoto mzuri kwamba waundao serikali ya mpito na kuongoza marekebisho wasiwe na nafasi ya kugombea kwenye uchaguzi ujao.

  Wanahitaji watu wenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko na muundo mpya wa utawala. Wasiokua na malengo binafsi ambayo yamaweza athiri "objectivity" yao katika utendaji.

  Wamisri yabidi wawe makini katika kuunda huo uongozi wa mpito. Vinginevyo itakua ni kucheza "makedamakeda".
   
Loading...