American voice greater than Egytians'!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

American voice greater than Egytians'!!

Discussion in 'International Forum' started by Ng'wamagigisi, Feb 2, 2011.

 1. N

  Ng'wamagigisi Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah, kweli viongozi wa Afrika ma-pupets. Wananchi wameandamana kwa siku kadhaa Dunia nzima kupaza sauti zao zisikike. Wengine zaidi ya 100 wakapoteza maisha yao wakipaza sauti. Maelfu wameacha familia zao na kwenda kupaza sauti. Majengo na mali zimeharibika katika upazaji wa sauti. Cha kusikitisha hakuna hata sauti moja iliyomfikia Mubarak.

  Leo Obama anamwambia sema hatagombea tena nae bila hata editing anaenda na kutamka yaleyale. Dharau iliyoje kwa wananchi wako. 4sure the guy must go down.

  Yawezekana hata huku kwetu twahangaika kupanga mistari kupiga kura kuwa kashaaambiwa hakikisha unakua rais.

  Kwakweli Tunisia wametuonesha njia ya kuushinda udhalimu.

  Julius Caesar once said..."there is a tide in the affairs of man, which, taken at the flood it leads on to forture". This is the time, now or never. Tunisia, Yemen, Jordan, Egypt are the floods.
   
Loading...