Recent content by Ngwada

  1. Ngwada

    Je, una imani na Jeshi la Polisi?

    Nooooooo
  2. Ngwada

    Siipendi CHADEMA

    Yeah ni kweli huwezi kuwa na mabwana wawili. Wee tulia na CCM eee mama
  3. Ngwada

    Tigo acha wizi wa namna hii - sasa ni kero

    Hapana tîgo wamekua tigo hasa mimi natumia line yao kawa receiver too ni wezi balaa. Janna nimeweka sh 600 nikajiunga na hicho kifurushi chao. Nilitumia takika 5 then naambiwa hela imeisha. Huu ni wizi.
  4. Ngwada

    Nimeamua kuachana na CHADEMA na kurudi CCM

    Safari njema wasalimie Lumuba! Kama wewe hawana nafasi huku duniani.
  5. Ngwada

    CHADEMA kuharibu jiji la utalii (Arusha)

    Kamwambie alie kutuma kwamba waTanzania wa sasa si wale wa zamani. Utalii utaharibiwa na majangili wa ccm kimawazo, kifikra na kiutendaji!
  6. Ngwada

    Dhihaka ya CHADEMA kwa jeshi la police

    Kamwambie aliyekutuma watanzania hatuitaki sisiem tena
  7. Ngwada

    Mbowe: Spika ni mtu wa ajabu sana!

    Iwe ni cmm au yeyote yule kafanya udharimu kama ule bado serikali inawajibika kulinda raia na mali zao. Ushahidi unatosha sasa ccm na serikali yake inefeli kutupa ulinzi sisi raia wake. Ntaichukia ccm na fikra zao mgando.
  8. Ngwada

    Aliyoyasema Mtela Mwampamba siku 2 kabla ya bomu kulipuka Arusha

    Naichukia ccm! Haya yanamwisho
  9. Ngwada

    Mwigulu azomewa vibaya Kaloleni Arusha

    Kamwambie aliyekutuma nyinyiem n kama kimba hata aliyelitoa hulitaki!
  10. Ngwada

    Sorry kama utakuwa offended:Hivi kwa nini walokole wanafiki sana kimapenzi?

    Hapana kwa maelezo haya haitoshi kutushutumu walokole wote!!!!!
  11. Ngwada

    Karibu Prof. Mama Anna Tibaijuka ndani ya JamiiForums!

    Karibu mama usiache busara zako nyuma ingia nazo tuuu!
  12. Ngwada

    jaman NYUMA raha!!

    Wee nae yaani nyuma yenyewe ndo hiyo. Naenda zangu
  13. Ngwada

    Tattoo ya msanii maarufu wa Bongowood mmmh

    Hapo kwenye ugomvi kwa kawaida panamasharubu ya simba au huyo n simba jike!
  14. Ngwada

    kunyonywa uume.

    Hata kama lipo mbona poa mkuu
  15. Ngwada

    Mishahara mipya ya walimu

    Umeona eee. Majitu mengine bwana
Back
Top Bottom