Aliyoyasema Mtela Mwampamba siku 2 kabla ya bomu kulipuka Arusha

Hamna haja ya kuhojiwa wasije mwishowe wakakamata wabajaji mwingne ka tulivyoona ya olasit

Hawa wote tutawapeleka kwenye vyombo huru vya sheria mwaka 2015 tukichukua nchi
 
Mtela ahojiwe

Huyu sio wa kuhojiwa na kuachiwa, kwa kauli ile inatakiwa akamatwe atupwe ndani aminywe minywe mpaka atakapo sema ukweli nini maana ya kauli yake. Kama isipofanyika hivyo na ijulikane Serikali imeshiriki kuuwa raia wake.
 
Mwema huwezi kazi jiuzulu maana utapelekwa the heague kama utaendekeza maelekezo ya wanasiasa.
 
ndio maana najiita shabani na nimeacha kwenda kanisani na pia nakaa mbali mikutano ya chadema maana ccm na waislamu wana back up kubwa ya ulizi na hata ukiwa muhalifu utalindwa tu na kusikilizwa ingekuwa kwenye mkutano wa ccm angepatikana mara moja na hata lile bomu lingekuwa ni msikitini tungeshamptta mwalifu kiukweli...
 
utamaduni mpya umeasisiwa na ccm nao ni kumwaga damu kwa njia ya mabomu. vyama vingine navyo vitalazimika kulipua mabomu ccm ili kwenda sawa. ccm very soon wata pay the price
 
Back
Top Bottom