jaman NYUMA raha!!

jaman NYUMA raha!!

Ukienda bar watu wakuhesabia vizibo, ukinywa tatu unalo!
 
Hiyo ndiyo nyuma yako, sisi tulifaidi nyuma nzuri zaidi ya hiyo, wewe umekula makombo yetu. Enzi hizo mkate wa kisu tsh. 5, mkate wa ata unaujua wewe?
 
Back
Top Bottom