MpiganiaUhuru
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 777
- 912
Kuna uhusiano wa karibu sana kati ya avatar yako, jina lako na maoni yako.
Umenena mkuu! Yaani nilikuwa natafakari juu ya hiyo avatar yake, inamaanisha nini? Au ndio Uliberali? Maana dume la binadamu limepakata dume la simba, aah! Hii inatisha!