CHADEMA kuharibu jiji la utalii (Arusha)

CHADEMA kuharibu jiji la utalii (Arusha)

hayo mapato ya utalii yamesaidia vipi wananchi wa hali ya chini jijini Arusha?
Kwa hiyo kupiga mabomu au kuacha mabomu yapigwe kwa watu wasio na hatia ndio kuboresha sekta ya utalii arusha?
Arusha na chadema ni dam dam!
Nashangaa sana huu uzi. Anaeanzisha fujo Arusha ni Polisi.
 
Wewe na maccm akili zenu wote kama Assad regime.
 
watalii Arusha wanaambiwa nchi inaharibiwa na Serikali ya CCM na sio Chadema maana tour guides wote na maboss zao ni Chadema kuanzia mtoto hadi damu zao
 
Yaani unanadhani una akili timamu ati unaleta mada ya kipuuzi kweli. Hoja yako inafaa huko udaku sio hapa. FISADI mkubwa
 
Unawashwa tafuta wa kukukuna
TUSIPOKUWA MAKINI KWA JINSI CHADEMA WANAVYOENDESHA SIASA JIJINI ARUSHA HUENDA WATALII WAKAPUNGUA SN NA KSHUSHA MAPATO YA UTALII, SUALA LA MAANDAMANO NA VURUGU KWA SASA HAVINA TIJA KWA WANANCHI WA ARUSHA AMBAO WENGI WANATEGEMEA BIAshara YA UTALII.
 
Kamwambie alie kutuma kwamba waTanzania wa sasa si wale wa zamani.
Utalii utaharibiwa na majangili wa ccm kimawazo, kifikra na kiutendaji!
 
Back
Top Bottom